Wadau msione kimya,anko nanihii yuko njiani kuelekea vekesheni nanihii.Libeneke litarejea kama kawa muda si mrefu ujao.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. Anko nanihii tupe habari za vekesheni kweli tumeona kimya

    ReplyDelete
  2. anko mimi kwa kweli ninaanza kupenda vijivakesheni vyako maana sijuwi unaza ngapi kwa mwaka kama nime hesabu vizuri basi si chini ya 12 asante Michu wako mkereketwa wa blog

    ReplyDelete
  3. We kula vekeshini as much as you can Michuzi mdogo anakuja juu hatujaboreka kwa habari za bongo tunaendelea kupata habari mbalimbali hatujapitwa bado!
    Enjoy you vakesheni
    Mdau USA

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...