Home
Unlabelled
range rover vogue accessories & items in dar!
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Kazi kwelikweli. Thamani ya kamkweche nakolia mahesabu ni sawa na thamani ya taa za Vogue la mtu mmoja.
ReplyDeleteMlioweza kununua haya tushtueni biashara gani zinaleta mafanikio na wenzenu tutoke.
That is not a TRACTOR for Tanzania, Ihave you see! just lamps cost a fortune!
ReplyDeleteTshs 1,000,000.00, aah shit.
Please stop those negative comments. Kama unamiliki Vogue na unahitaji hivyo vifaa just buy. Sitegemei mnataka mpewe bure. Kama hutaki kununua maana yake huvihitaji. Rahisi kabisa. Hiyo ndiyo kanuni ya ununuzi. Unanunua kile unachohitaji. Na ukiwa unayo nia basi utanunua tu. Acheni kulialia na kulaumu. Hilo ndilo soko huria. Eboo!!?
ReplyDeleteunajua unapoandika tangazo kudi-close habari kama hizi kwa public unatuweka katika wakati mgumu wenye range rovers au gari za class hii, maana baadhi yao ndio wanajua kua akikwapua taa ya mbele tu ana kilo tano mfukoni, jamani upite ukinadisha biashara kama hii uso kwa uso kwa mwenye nalo badala kuanika nyeti kama hizi hadhari na kututafutia balaa.
ReplyDeleteSawa bwana AMBUKEGE EJK tumekupata. Hongera kwa ujasiriamali.
ReplyDelete