THESE ACCESSORIES ARE IN DAR-ES-SALAAM
CONTACT +255-713411148
PRICE NEGOTIABLE!

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 5 mpaka sasa

  1. Kazi kwelikweli. Thamani ya kamkweche nakolia mahesabu ni sawa na thamani ya taa za Vogue la mtu mmoja.
    Mlioweza kununua haya tushtueni biashara gani zinaleta mafanikio na wenzenu tutoke.

    ReplyDelete
  2. That is not a TRACTOR for Tanzania, Ihave you see! just lamps cost a fortune!
    Tshs 1,000,000.00, aah shit.

    ReplyDelete
  3. Please stop those negative comments. Kama unamiliki Vogue na unahitaji hivyo vifaa just buy. Sitegemei mnataka mpewe bure. Kama hutaki kununua maana yake huvihitaji. Rahisi kabisa. Hiyo ndiyo kanuni ya ununuzi. Unanunua kile unachohitaji. Na ukiwa unayo nia basi utanunua tu. Acheni kulialia na kulaumu. Hilo ndilo soko huria. Eboo!!?

    ReplyDelete
  4. unajua unapoandika tangazo kudi-close habari kama hizi kwa public unatuweka katika wakati mgumu wenye range rovers au gari za class hii, maana baadhi yao ndio wanajua kua akikwapua taa ya mbele tu ana kilo tano mfukoni, jamani upite ukinadisha biashara kama hii uso kwa uso kwa mwenye nalo badala kuanika nyeti kama hizi hadhari na kututafutia balaa.

    ReplyDelete
  5. Sawa bwana AMBUKEGE EJK tumekupata. Hongera kwa ujasiriamali.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...