Mzigo mpya umeingia Maryland na D.C. kwa ajili ya Ramadhaan na Eid el Fitr. Karibuni mfurahi na roho zenu. Vitambaa, abaya (buibui) hijaab, oud, diraa na kadhalika straight from UAE vimejaa tele kwa ajili yenu.

address ni:
LA UNION MALL,
1401 UNIVERSITY BLVD,
LANGLEY PARK,
HYATTSVILLE,
MD 20783.
In side Tabeer restaurant next to Bismillah Halal meat Open everyday from 12 pm to 8 pm, nyote mnakaribisnhwa na kwa wale wa out of state wala msikonde mtatumiwa kwa posta.

For more information please call
Buhite al Jabry @301 466 7795.
Ahsanteni na karibuni sana.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 6 mpaka sasa

  1. subiri waliofundishwa chuki waone.

    ReplyDelete
  2. maashallah tutakuja kununua ngua za eid thanks

    ReplyDelete
  3. Mbona ni nguo za akina mama tuuu!!!! Biashara matangazo tumekubali!

    ReplyDelete
  4. anony 1 dini gani inayofundisha chuki ukristu ni upendo.
    usichokoze wakata vichwa wewe?
    simo.

    ReplyDelete
  5. inaelekea mambo yenu ni mazuri ila hamna website ya duka lenu ili si tunaokaa nje ya usa tukawa tunashop online bila shida

    ReplyDelete
  6. wadau Fri Sep 04, 12:40:00 AM & Fri Sep 04, 04:33:00 PM ninyi si wakristo. mimi ni mkristo lkn siamini kama na nyinyi ni wakristo,mmekosa heshima kbs hizo si sifa za mkristo msituchafue kbs na pepo wenu anayewatuma.

    Hizo nguo naona kama zimezidi mipaka coz zinaproject maumbo ya ndani na hazina maadili ni umodel tu...

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...