
heshima yako mkuu wa kaya
kwa heshima na taadhima naomba nikuletee picha hii ili uone vijana wako walivyo makini na kazi!Hizi ni kingo za daraja lileee karibu na tegeta stendi! Vijana wako walikuwa na kazi ya kupaka rangi kwenye vyuma hivi takriban mwezi mmoja hivi na kazi kama unavyoiona wamemaliza!!
Samahani sana mkuu ila naona kama si sahihi kilichotendeka, kwa nini basi wasingenyoosha nyoosha kidogo hivi vyuma halafu wakavipiga rangi? SAWA nakubali sio kazi yao, lakini hapa si kama wamechafua zaidi?
Mkuu nina uchungu na kodi yangu sijui nihame nchi?????!!!!!!!!!!
ACHA UNOKO WEWE!! TANZANIA TUMEJIZOELEA KILA KITU KUINGIZIA USANII. WEWE UNATAKA KUTIA MCHANGA KITUMBUA CHA WATU HUONI KWAMBA HIYO NI OPOTUNITE YA KESHO ATATAFUTWA MKANDARASI ILI ANYOOSHE ZENI VIPIGWE TENA RANGI. KOMA KABISA NA ROHO YAKO YA KWANINI.
ReplyDeleteUfisadi umeota mizizi, na hao ni TANROADS DSM.Kaazi kweli kweli !!
ReplyDeleteMradi wapepata 10% yao, ni kanyaga kanyaga twende, tafuta mradi mwingine wa kula.
Kwa kweli nakuunga mkono na kusapoti (kwa kushngaa) jinsi hiyo kazi ilivyofanyika, nilikuwa sina hakika nimuulize (kwa barabara ya Bagamoyo RODI hata pale Mlalakuwa wamepaka) nani kwani unapaka rangi sehemu gani au ilitolewa fungu la rangi ndio ikawa "paka bila kurekebisha".
ReplyDeleteNiliwahi kusikia kunasheria ya anayesababisha hizo kingo au alama za barabarani kuwa katika muonekano tofauti na uliowekwa na TANROD/HALMASHAURI anastahili kutengeneza ni kweli au ni katita ile NCHI ILIYOKO NDANI YA KICHWA CHANGU?
anyway this is very very my bilavd kantri ninayoipenda hasa kwa vitu vyake vya ....
huyu mdau vipi,
ReplyDeleteanauliza kuhama,kwani anasubiri nini?
Mnamwaga pumba tu!kwavile mmekaa mbele ya PC na mshajishibia ugali wenu mnasahau kama kuna kinamama wajawazito hawana damu huko mahospitalini na jinsi tunavyobakishiwa mashimo makubwa makubwa matupu na wanaoyabaka madini yetu bila faida yeyote?kwa generation yetu ya baadae? eti daraja halina rangi
ReplyDelete