Kaka Michuzi,
Basi bwana baada ya mambo ya Reed Dance kuwasisimua wana blog leo jioni nilikuwa kwenye viunga vya mji wa Mbabane ambao ni makao makuu ya nchi ya Swaziland. Yaani Ofisi zote za Serikali zipo hapa pamoja na maduka makubwa ya nguo na vyakula yapo katika eneo hili.
Eneo lipo juu zaidi toka usawa wa bahari, ni la milimani ukilinganisha na kitogoji cha Lobambo eneo la Ludzidzin ambako Reed Dance hufanyikaga katika Palace (jumba la mfalme) la Mama yake King Msawti III.
Mji wa Mbapane upo juu kama unatokea eneo la Ezulwini, yaliyopo makazi ya King Mswati, na hali ya hewa yake huwa ya baridi sana, kwa haraka haraka unaweza kufananisha na eneo la Mbeya kwa wale waliofika Mbeya wanaweza kupata picha kamili.
Aidha, nchi hii ina wakaazi wanaokadiriwa kufikia milioni 1.2 na eneo lake kama moja za wilaya hapo Bongo! picha hizi zinawasilisha taswira ya mji wa Mbabane, na hapa ni city centre yao, hakuna tena kama hapa.
Naomba kuwasilisha...
Mdau wa muda wa Swaziland
Sawa sawa mdau, kumbe tulikuwa pamoja kwenye Reed Dance juzi lol! Mswati ni noma. Vipi mbona hujabandika taswira za tukio?????
ReplyDeleteAmani iwe nawe.
mdau big up kwa picha.
ReplyDeletesasa mi nauliza vipi upatikanaji wa totoz hapo?? mademu wa hapo ukitaka kumtokea ukajinyooshe inakuwaje, ni shughuli pevu au nao wanatoa tu bila hiana?? hebu nipe nyeti mzee manake ndo najipanga kubajeti trip ya huko. wale watoto matiti wazi bado hawajanitoka kichwani kaka!! nipe data inakuwaje??
wananifurahisha sana watu wa huko swazi, yaani wanatunza vizuri vitabu vyao, mfano mfalme wao anafungua kimoja kimoja kila mwaka tena vipya na original toka kwenye plastic zake naturally anapasua mwenyewe.
ReplyDeletesio second hand vilivyo tolewa cover, waswahili wanasema kipya kinyemi.
wewe mdau wafaidi vipyaaa, ntakuja huko tuachie huko na sisi ati vipya mambo ya twasira.
Makao makuu yanaonekana kama upo mkoani Singida! Naona infrastructure yao wala haijatulia, Naona Dar ipo mbali sana makao makuu hayafikii hata jiji la Mwanza!
ReplyDeleteManzini kidogo pakubwa na pazuri kuliko mbabane japo ndo capital
ReplyDeletehizi picha zina fanana na kampala Uganda
ReplyDeleteMji huu ni mzuri sana sana na mimi natamani kuishi kwa King Muswati,imagine hiyo idadi inazidi wilaya za Dar na umepangiliwa mbaya na unaonekana kuwa msafi kinoma tu,na vipanya vyao havionekani vichakavu kama vyetu..kutu etc.
ReplyDeleteJamani tutafika?? asante mdau umenikumbusha mwaka 2006 nilienda kikazi nilitamani nisirudi bongo kwetuu.
Bosi tunaomba utuongezee zile picha za dansi....achana na hizi za magorofa
ReplyDeleteKumbe wanajua kuvaa nguo pia...!!
ReplyDeleteMi nlidhani uchi uchi ndo maisha yao ya kila siku >>
Kama wewe ni mtu wa kujichanganya ......Mambo yote yapo Manzini...............hapo hakuna ishu..........
ReplyDeleteKama kuna mdau wa Man Zini tupe taswira. Kuna mdau ametoa ulinganifu.
ReplyDeleteE bwana huo mji vipi, mbona sioni mifuko ya Marlboro mitaani?
Bongo watu hugombea kuwahi seat ya mbele kwenye daladala hali ni tofauti kwa Swaziland...seat ya mbele huwa ndiyo ya mwisho kukaliwa na abiria.
ReplyDeleteAfrika is Afrika tu.
ReplyDeleteKwa watu ni Kwa watu tu.
ReplyDelete