kuna wadau kibao wameomba kumuona anko akiwa kala pamba, na sio ze fulanazzzz, na wengine wanadai kumuona mai waifu wake. kwa sasa anaanza na pamba (za kuazima). mai waifu wake
atafuata baaden...

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 22 mpaka sasa

  1. haya semeni sasa...

    ReplyDelete
  2. hehe,.upo juu kitu sheria na mavazi nini hicho?

    ReplyDelete
  3. stephen benderaOctober 09, 2009

    you look good on that pambazzzz so baki humo humo

    ReplyDelete
  4. Man I can't wait to see shangazi! bring her up! umembagua kwa muda mrefu sana ila ninashukuru katika swala la konozzz umejirekebisha sijaona makonozzz kwa muda mrefu nafikiri hata shangazi anafuraha sasa! hahahaaaaa

    ReplyDelete
  5. Michuzi umependeza mnuso wapi?

    ReplyDelete
  6. duh sarawili ina makunyanzi.....

    ReplyDelete
  7. nimekubali LINEN hiyo,sasa mbona laberz kwenye mkono umeficha??????

    ReplyDelete
  8. weeee michuzi kama pamba ndio hizo basi tu..................!!!!!!!!

    ReplyDelete
  9. we! anko!!naniini! yaani umetoka chicha si utani

    ReplyDelete
  10. Mkuu Mithupu naona umeweka pamba safi MPAKA BASI!
    Naona awamu ya Tshirts ndio imekwisha.
    Mimi nilikuwa mmoja wa watu ninaopinga sana pamba za kuvaa mkao wa Mwenge-Posta, au Posta Gongo la Mboto.
    Pamba zako tutaziona dunia nzima
    UDUMU!!!!

    ReplyDelete
  11. Hahahaha Anko nanihii nimekubali Sasa Next ikija watataka Kuona na Watoto wa Nanihii Picha ya Familia kwekwekwekwe!!!

    ReplyDelete
  12. naona unaendeleza konozzz kwenye bango,watu he! watu ha! ila siku utakayo mwonesha mai waifu wako mpige konozz lakimahaba tofauti la kwenye hilo bango.

    ReplyDelete
  13. nakubaliana na annon uliyedai kama pamba ndo hizo basi!!!!!!!!! sasa ana tofauti gani na Andrew Nyerere? Mpagilio wake haujakaa sawa angalia na Mawife usije ukasababisha watu walionuna wacheke..............

    ReplyDelete
  14. nilisikia una mpango wa kuoa, haya bana tunamsubiri wifi yetu.
    by mdada

    ReplyDelete
  15. Umependeza sana mjomba Misupuu. Ile ze fulanaz naona ichomwe moto tu. Big up to you braza!

    ReplyDelete
  16. Mithupu mbona hiyo pamba haijakaa sawa, naona ndani ya koti ni t-shirt pia ni rangi tu sasa umebalisha!! au ndio fashion za tz?

    ReplyDelete
  17. Eti anko mithupu, dhe fulanaz ipo wapi?

    I miss dhe FULANAAAAAAAAAAAAZ.
    The kitambulisho cha anko.

    ReplyDelete
  18. Wee annon wa 7:20 acha ushamba, hio ni linen wanavaa mtu za nguvu especially in summer time.pole inaonekana umeshuka Dar leo leo toka ilolangulu.Michuzi kula tano kwa pamba murua.

    ReplyDelete
  19. Michuzi!
    Mtagwa ROGERS, kaua mtu kwa nok-out.Tuwekee mambo humu,Wazungu hapa bado hawaamini.Lakini jina TANZANIA linazidi kukua!!!!

    ReplyDelete
  20. Mh mwanangi rudi tu kwenye the fulanazzz! humo sio mwako mh mh sijakubali bado teh teh teh the fulanaz please; labda ukioa ndio uanze pamba mana naamini wife atakuwa mtaalamu wa kukupangia pamba.

    ReplyDelete
  21. akuuu
    nataka ze fulanazzz letu la mistari-stari liludi kwakwel,umo walaaa sijakupenda asilani

    kwanza ilo suti linamakunyazi,pili umevaa na tsheti jeusiii,pili sijui mokass izo...mbayaaaaaa

    rudisha ze fulanazzz letu

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...