Home
Unlabelled
anko nanihii katika pozi
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
haya semeni sasa...
ReplyDeletehehe,.upo juu kitu sheria na mavazi nini hicho?
ReplyDeleteyou look good on that pambazzzz so baki humo humo
ReplyDeleteMan I can't wait to see shangazi! bring her up! umembagua kwa muda mrefu sana ila ninashukuru katika swala la konozzz umejirekebisha sijaona makonozzz kwa muda mrefu nafikiri hata shangazi anafuraha sasa! hahahaaaaa
ReplyDeleteMichuzi umependeza mnuso wapi?
ReplyDeleteduh sarawili ina makunyanzi.....
ReplyDeletenimekubali LINEN hiyo,sasa mbona laberz kwenye mkono umeficha??????
ReplyDeleteweeee michuzi kama pamba ndio hizo basi tu..................!!!!!!!!
ReplyDeletewe! anko!!naniini! yaani umetoka chicha si utani
ReplyDeleteMkuu Mithupu naona umeweka pamba safi MPAKA BASI!
ReplyDeleteNaona awamu ya Tshirts ndio imekwisha.
Mimi nilikuwa mmoja wa watu ninaopinga sana pamba za kuvaa mkao wa Mwenge-Posta, au Posta Gongo la Mboto.
Pamba zako tutaziona dunia nzima
UDUMU!!!!
Hahahaha Anko nanihii nimekubali Sasa Next ikija watataka Kuona na Watoto wa Nanihii Picha ya Familia kwekwekwekwe!!!
ReplyDeleteOkay....
ReplyDeletenaona unaendeleza konozzz kwenye bango,watu he! watu ha! ila siku utakayo mwonesha mai waifu wako mpige konozz lakimahaba tofauti la kwenye hilo bango.
ReplyDeletenakubaliana na annon uliyedai kama pamba ndo hizo basi!!!!!!!!! sasa ana tofauti gani na Andrew Nyerere? Mpagilio wake haujakaa sawa angalia na Mawife usije ukasababisha watu walionuna wacheke..............
ReplyDeletenilisikia una mpango wa kuoa, haya bana tunamsubiri wifi yetu.
ReplyDeleteby mdada
Umependeza sana mjomba Misupuu. Ile ze fulanaz naona ichomwe moto tu. Big up to you braza!
ReplyDeleteMithupu mbona hiyo pamba haijakaa sawa, naona ndani ya koti ni t-shirt pia ni rangi tu sasa umebalisha!! au ndio fashion za tz?
ReplyDeleteEti anko mithupu, dhe fulanaz ipo wapi?
ReplyDeleteI miss dhe FULANAAAAAAAAAAAAZ.
The kitambulisho cha anko.
Wee annon wa 7:20 acha ushamba, hio ni linen wanavaa mtu za nguvu especially in summer time.pole inaonekana umeshuka Dar leo leo toka ilolangulu.Michuzi kula tano kwa pamba murua.
ReplyDeleteMichuzi!
ReplyDeleteMtagwa ROGERS, kaua mtu kwa nok-out.Tuwekee mambo humu,Wazungu hapa bado hawaamini.Lakini jina TANZANIA linazidi kukua!!!!
Mh mwanangi rudi tu kwenye the fulanazzz! humo sio mwako mh mh sijakubali bado teh teh teh the fulanaz please; labda ukioa ndio uanze pamba mana naamini wife atakuwa mtaalamu wa kukupangia pamba.
ReplyDeleteakuuu
ReplyDeletenataka ze fulanazzz letu la mistari-stari liludi kwakwel,umo walaaa sijakupenda asilani
kwanza ilo suti linamakunyazi,pili umevaa na tsheti jeusiii,pili sijui mokass izo...mbayaaaaaa
rudisha ze fulanazzz letu