Anelka produced a controlled finish to score Chelsea's opener

Nicolas Anelka and Florent Malouda sent Chelsea back to the top of the Premier League as their second-half goals gave Carlo Ancelotti's side a deserved victory over Liverpool at Stamford Bridge.

The enigmatic Didier Drogba - who mixed theatrics with threat in an encounter that was competitive rather than compelling - won the battle of the strikers with Liverpool's Fernando Torres to make decisive contributions and set up Chelsea's win.
Read more from BBC SPORT by

Yesterday Scores...

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 11 mpaka sasa

  1. huyu banitez tabia ya kumng'angania lucas ita tu cost mana hana mchango wowowte anakimbia kimbia tu uwanjani

    ReplyDelete
  2. Tuwekee AY jinsi alivo kamua ktk big Braza Rev achana na mambo haya yakushindwa hahaha ebwana AY si mchezo aliwapagawisha big braza si mchezo sio mpezi wa fleva lakini kijana nimemkubali yupo juuu sana

    ReplyDelete
  3. Du!! siamini kama mzee wa bwawa la maini katuwekea ushindi wetu kwenye blog ya jamii,pole sana kaka nanihii, huo ndio ushindani. baba mwenye nyumba wa chelsea alimfungia Torres chumbani fungua akashika mweeeenyewe!! sasa safari imeanza.

    ReplyDelete
  4. kaka michuzi pole na safari pamoja na liverpool kufungwa ila naona upande mwingine raha kidogo yanga kashinda ungefulia kotekote mkubwa
    ila utu uzima dawa

    ReplyDelete
  5. Mwisho wa siku itakuwa hivi: 1. Chelse, 2. Man U, 3. Arsenal, 4. Man City, 5. Liverpool.

    Nawasilisha utabili!!!!

    ReplyDelete
  6. Kwa kweli inabidi pengo liloachwa baada ya Alonso na Arbeloa kwenda Real Madrid Madrid - lazima Rafa alitafutie ufumbuzi tatizo hili - tunagoja Alberto Aquilani nae atachukuwa muda kuchanganya katika premier league. - lakini Rafa lazima aongeze striker mwengine wa kumsaidia Torres - na midfielder pamoja na Winger mwengine.

    Safiri ni ndefu - tunaye Sunderland tarehe 17/10 na Man United tarehe 24/10.

    Pia tunawatakia kila la heri PAN AFRICAN - team la maboni hapo Dar. Najuwa wapo daraj la pili lakini tutarudi tu premier.

    ReplyDelete
  7. what does it mean?
    if one match has goals (arsenal 6-2)equivalent to three (other 5-3)matches!

    ReplyDelete
  8. Mdau unayemlaani Lucas kama uliangalia mechi bao la kwanza la Chelsea lilitokana na Mascherano kupoteza mpira katika mazingira aliyopaswa kutoupoteza. Bao la kwanza ndio liliua gemu kwa Liverpool. Isitoshe kama asipomchezesha Lucas atamchezesha nani katika nafasi ile?

    ReplyDelete
  9. Siri ya ushindi wetu ni Drogba na "Mr. Chelsea" pale nyuma.
    Chelsea Washington DC ile party yetu ipo kama ilivyopangwa(kwa wasiofahamu mtafahamishwa hapa jamvini).

    ReplyDelete
  10. The GrandPMCOctober 05, 2009

    sioni point ya kusubiri mpaka sijui dk ya 75 ndo haka kadingi kumuingiza Yosi na Ryan Babel,seriously pressure waloingiza nadhani ni funzo tosha kuwa hawastahiki kubaki nje kwa muda wote huo au vipi anko nanihii?by the way i was SOOOOO HAPPY,kweli mwaka huu tutakualika darajani kusheherekea ubingwa hahaha

    ReplyDelete
  11. Hureeeeee!!!!! Ze blues ni kiboko i like their spirit and talent.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...