Nicolas Anelka and Florent Malouda sent Chelsea back to the top of the Premier League as their second-half goals gave Carlo Ancelotti's side a deserved victory over Liverpool at Stamford Bridge.
The enigmatic Didier Drogba - who mixed theatrics with threat in an encounter that was competitive rather than compelling - won the battle of the strikers with Liverpool's Fernando Torres to make decisive contributions and set up Chelsea's win.
Read more from BBC SPORT by
Read more from BBC SPORT by
Yesterday Scores...
huyu banitez tabia ya kumng'angania lucas ita tu cost mana hana mchango wowowte anakimbia kimbia tu uwanjani
ReplyDeleteTuwekee AY jinsi alivo kamua ktk big Braza Rev achana na mambo haya yakushindwa hahaha ebwana AY si mchezo aliwapagawisha big braza si mchezo sio mpezi wa fleva lakini kijana nimemkubali yupo juuu sana
ReplyDeleteDu!! siamini kama mzee wa bwawa la maini katuwekea ushindi wetu kwenye blog ya jamii,pole sana kaka nanihii, huo ndio ushindani. baba mwenye nyumba wa chelsea alimfungia Torres chumbani fungua akashika mweeeenyewe!! sasa safari imeanza.
ReplyDeletekaka michuzi pole na safari pamoja na liverpool kufungwa ila naona upande mwingine raha kidogo yanga kashinda ungefulia kotekote mkubwa
ReplyDeleteila utu uzima dawa
Mwisho wa siku itakuwa hivi: 1. Chelse, 2. Man U, 3. Arsenal, 4. Man City, 5. Liverpool.
ReplyDeleteNawasilisha utabili!!!!
Kwa kweli inabidi pengo liloachwa baada ya Alonso na Arbeloa kwenda Real Madrid Madrid - lazima Rafa alitafutie ufumbuzi tatizo hili - tunagoja Alberto Aquilani nae atachukuwa muda kuchanganya katika premier league. - lakini Rafa lazima aongeze striker mwengine wa kumsaidia Torres - na midfielder pamoja na Winger mwengine.
ReplyDeleteSafiri ni ndefu - tunaye Sunderland tarehe 17/10 na Man United tarehe 24/10.
Pia tunawatakia kila la heri PAN AFRICAN - team la maboni hapo Dar. Najuwa wapo daraj la pili lakini tutarudi tu premier.
what does it mean?
ReplyDeleteif one match has goals (arsenal 6-2)equivalent to three (other 5-3)matches!
Mdau unayemlaani Lucas kama uliangalia mechi bao la kwanza la Chelsea lilitokana na Mascherano kupoteza mpira katika mazingira aliyopaswa kutoupoteza. Bao la kwanza ndio liliua gemu kwa Liverpool. Isitoshe kama asipomchezesha Lucas atamchezesha nani katika nafasi ile?
ReplyDeleteSiri ya ushindi wetu ni Drogba na "Mr. Chelsea" pale nyuma.
ReplyDeleteChelsea Washington DC ile party yetu ipo kama ilivyopangwa(kwa wasiofahamu mtafahamishwa hapa jamvini).
sioni point ya kusubiri mpaka sijui dk ya 75 ndo haka kadingi kumuingiza Yosi na Ryan Babel,seriously pressure waloingiza nadhani ni funzo tosha kuwa hawastahiki kubaki nje kwa muda wote huo au vipi anko nanihii?by the way i was SOOOOO HAPPY,kweli mwaka huu tutakualika darajani kusheherekea ubingwa hahaha
ReplyDeleteHureeeeee!!!!! Ze blues ni kiboko i like their spirit and talent.
ReplyDelete