Home
Unlabelled
hongera notburga, madaraka na gerald kwa kukwea mlima kilimanjaro
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Duh mlima wetu jamani haukuwa hivi. Sasa hivi tunaelekea pabaya. Miaka ya nyuma kama 90 hivi mimi nikwenda kupanda mlima kulikuwa ni barafu tuu hadi maji ukifungua yanabarafu, now kumekuwa jangwa hivyo??? Hatari......... Huu uchafuzi wa hali ya hewa utaisha lini jamani. Bado tuu kidogo kivutio chetu cha mlima huo kitapotea kwani barafu na baridi ya huko ndiyo ilikuwa inavutia kutokana pia na mazingira mazuri yaliyokuwemo.
ReplyDeleteNow nahisi basi kila mmoja ataweza kupanda mlima kwa namnahiyo coz hakuna tena ile hali ya hewa kama ya zamani. Enzi hizo ilikuwa issue kupanda kufikia kilele kwani unaweza ganda wakati mwingine.
Hongera Gerald na wenzako, kikweli unastahili sifa kwani si wote wanaweza kuhimili hiyo hewa huku Mt. Kilimanjaro. UKO JUU. na unahaki ya kujisifia, hapa nasubiri kusikia ukijisifu na Bi B. Hassan akikosa cha kuendeleza kwa kuweka tangazo.
ReplyDeletekuna mahali unaweka photoz za huko juu?
WELL DONE - find the T-shirt "I HAVE CLIMB MT KILIMANJARO, HAVE YOU!
Hilo bango la kuonyesha highest peak ya afrika linatia aibu wazee. Tumejaaliwa kuwa na kilele kirefu afrika nzima, kuweka bango la maana pia kwikwi daah!!! Watu wanatoka ulaya kila kukicha kuja kukwea mlima wetu.Lakini sijui kama wanatamani hata kupiga picha na hilo bango.Mheshimiwa Balozi peleka haka kaujumbe mezani kwa wazee !!! AIBU hii
ReplyDeleteMichuzi, Roger MTAGWA kamtandika mtu kwa nok-out tuwekee mambo humu tafadhali.Tanzania jina kubwa sasa baada ya HASHIM THABIT , sasa ROGER MTAGWA!!
ReplyDeleteMbona hatumwoni Jaffer Idd Amin Dada the Conquerer of the British Empire? Au alijaribu kupanda na kuishia Moshi mjini? Maana Moshi mjini kwenyewe ni zaidi ya meta 2000 kutoka usawa wa bahari. Sasa kama umetokea Dar kufika Moshi mjini unakuwa tayari umekwisha kata zaidi ya hizo meta 2000 kwa hiyo unaweza kushindwa kuendelea km hizo 2000 zitakuwa zimekuchosha tayari.
ReplyDeletemadaraka hongera, lakini nina wasi wasi hukuwa na proper high altitude clothing. umevaa jeans kwenye summit ya Kilimanjaro?
ReplyDeleteJeans nilivaa siku ya kwanza tu, siku nyingine zote nilivaa nguo stahili.
ReplyDeleteWABONGO BWANA....UTAJIITAJE YAHOO???
ReplyDeleteduh! kweli hapa ndo kuna maajabu! mdau anashangaa jamaa kujiita YAHOO wakati ye anaitwa KILO! hahahaaaa! hii kiboko.
ReplyDeleteHONGERA SANA MADARAKA HAYAWI HAYAWI MATOKEO YAKE YAMEKUWA SAFI SANA NA HATA MIMI NIKIJA NYUMBANI NITAJITAHIDI KAMA KUKIWA NA UWEZEKANO NIPANDE MLIMA KILIMANJARO
ReplyDeleteSIKU ZOTE NYANI HALIONI KUND...U LAKE HUWA ANALIONA LA MWENZIE NDIO HUYO KILO KUMSHANGAA YAHOO,NENDA MIKOA YA PWANI au Kusini KWA WAJOMBA ZANGU WAZARAMO NA MAJINA YA KWETU UTASHANGAA MPAKA UTALIA
ReplyDeleteGerald hongera sana sana.
ReplyDeleteur class mate, srss.
Salma.
Hongera zenu sana jamani kwa kuweza kufikia Afrikas highest point! Mi natamani but nina asthma nahisi haitawezekana, jamani wenye afya zenu pandeni mfaidi. God bless u.
ReplyDeleteNAMTAFUTA MTU ALIYEJIITA YAHOO SI MUONI NA KILO JEE NI SAWA? JINA NI JINA TU HATA UKIJIITA PAKA NI SAWA TU. UMESAHAU KUWA KUNA AKINA NGURUWE, MBAWALA.
ReplyDeleteHongereni sana Madaraka na Hando ni jambo la kufurahisha na kumshukuru Mungu kwa afya zenu njema alizowajalia, ni wangapi wanatamani lakini hawawezi? ni wangapi wana uwezo lakini hawajalifikiria hilo? Take care my boys and God bless you for adoring his creation.
ReplyDeleteunajua inaleta raha kama ukiona aibu ni vizuri kurekebisha tatizo, wa Tanzania wengi tunalalamika sana na kukana nchi yetu. ushauri kwa ANANYMOUS wa sat 10th 02:07pm, ile dhana ya kujitolea ua kufadhili inaanzia hapa, peleka signpost inayoleta raha pale juu. mbona tumapokea contributions (ili kutopotezana ask Wizara ni bango gani linahitajika ili usisumbuke. all the same THAT IS THE HIGHEST POINT sign mpaka apatkane mwenye hasira ya kubadilisa. SMILE
ReplyDeleteNotburga hongera sana kwa kupanda mlima wa nyumbani. Yaani kule kukuona kwenye blog ya Uncle DC wa nanihii umenikumbusha mbaaaali sana - enzi zile za "Steno" Shycom.
ReplyDeleteheee jamen nipeni siri ya kuapnda uo mlima
ReplyDeleteITS MY LIFE DREAM EVER
nataka kuupanda ila sijui nianzaje si mwajua sie tuliopo makazini?ili nijue kupanda likizo/ruhusa na majira ya kupanda mlima,PIA SANA SANA MAZOEZI gani nichukue?
nawaonea fahari sana wanaopanda mlima huu
mnijibu
Ahsanteni kwa maoni yenu na pongezi. Ni kweli kupanda mlima inahitaji kujipanga, ukifanikiwa ni furaha tupu.
ReplyDeleteNilikuwa na ndoto hiyo tangu miaka ya tisini mwanzoni Sasa imetimia namshukuru Mungu, na Madadaraka aliyeanzisha wazo hili. Ni jambo zuri na lina faida sana.
Kama uko kazini unaweza ukapanga likizo yako ikaangukia tarehe za kupanda mlima kama sehemu ya mapumziko ya likizo yako.
Madaraka mwasisi wa shughuli hii ni mwalimu mzuri bila shaka atakueleza zaidi tarehe ya kupanda mwakani na mazoezi yanayofaa. Aidha; fungua blog yake http://madarakanyerere.sportsblog
Agnes nakushukuru kwa kunikumbuka. Nilishtuka marafiki zangu hawasomi blog hii japo wengine walinitumia text massage.
Ni kweli enzi zetu za Masteno Shycom shines nakukumbuka vizuri sana tulitimiza wajibu wetu pale.
Je utapanda mlima? Kama utapanda niambie nitarudia tena twende wote.
Agnes uko wapi sasa? Ni vizuri kupanda mlima kutumia afya tuliyo nayo kabla ya kuchoka sana si unajua miaka ina kwenda juu na nguvu zinapungua?
Inabidi kuwahi ili tuwe na cha kusimulia kwa vizazi vinavyokuja.