Mwenyekiti wa Tanzania Mineral Dealers Association (Tamida) bwana S.Mollel (katikati) akimshukuru mkuu wa wilaya ya Arusha Mh. Raimond Mushi kushoto baada ya kufungua mkutano wa wadau wa madini na kulia ni muandaaji wa mkutano bwana Mack Saul mjini Arusha leo.
Dr. John Saul ambae ni Geologist Gemmologist akimuonyesha mkuu wa wilaya ya Arusha Mh. Raimond Mushi jarida la picha za madini ya Tanzania wakati alipofungua mkutano wa wadau wa madini ulioudhuriwa na wajumbe kutoka nchi mbalimbali duniani katikati ni mwenyekiti wa tamida bwana S.Mollel.
Mwenyekiti wa tamida bwana S.Mollel akiteta jambo na muandaaji wa mkutano wa wadau wa madini duniani bwana Mack Saul wakati wa chakula cha jioni. Picha zote na mdau Daniel Nyangasi wa A-taun



Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. mzumgu hapo anachekelea jinsi TZ ilivyo tambarare! kama amushasain papers thats it good luck watz.

    ReplyDelete
  2. NI RAYMOND MUSHI SIYO RAIMOND, KWANINI WATANZANIA HATUPENDI KUWA SAHIHI TUANDIKAPO MAMBO?

    ReplyDelete
  3. kheee kumbe kuna chama cha wanamadini?TANZANITE?????na uyo mzungu je,hakuna watanzania waliosomea hiyo fani?pale UDSM ithink ipo ila wako wapi?

    your objective,goals,planning????

    aya tunashukuru

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...