Home
Unlabelled
JK arejea dar
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Mbona giza???? JK u can't tell something is wrong?
ReplyDeletehiki ni kipindi cha mgao wa umeme huko home
ReplyDeleteJamani humu ndani mimi naomba niulize. Hivi hawa jamaa---Mkuu wa Mkoa (DAR)-Mkuu wa Majeshi-(CDF, Mkuu wa Polisi (IGP), na viongozi wengine kama makakmu wa raisi na wengine huwa hawana kazi ya kufanya hadi kila raisi anaposafiri wanakwenda kumuaga, anaporudi wanakwenda kumpokea--je kuna kitu ambacho mimi sielewi, hii ndio protocal inavyokwenda? kuna tulikuwa tunaongelea hii kitu weekend--yeye akawa anafikiri kuwa hawa jamaa utendaji wao wa kazi unautata ndio maana inabidi waende kumkumbusha jamaa kwa, "tupo." Mafuta wanayotumia kwenda na kurudi airport, na misafara yao ni usumbufu kwetu sisi inaotubidi tukae kwenye foleni kusubiri wapite...........je ni wengine humu ndani manoona hili tatizo.
ReplyDeleteViongozi wetu wanaona giza kitu cha kawaida tu, jamani kazi ipo!!
ReplyDeleteJK, sasa hapo sijua anongea nini na Lukuvi, rais unapokelewa gizani. Uoni kwamba ni tatizo kubwa hilo.
Hawa viongozi sio kwamba hawana kazi. Kazi zipo nyingi, tatizo ni vision hakuna.
ReplyDeleteLogistics zote za kukusanya viongozi kwenda airport kumuaga au kumpokea rais kwa kweli ni waste of time, other resources na usumbufu mkubwa kwa wananchi ambao wanatumia barabara kwa sababu inabidi wakae kwenye foleni na kusimamisha shughuli zao.
Kuna mambo mengi zaidi ya kufanya kuliko viongozi kupoteza muda kwenye jambo kama ili.
Wakati umefika kuacha na utamaduni huu.
HAWA HUACHIWA JUKUMU LA KUWADHIBITI WAPINZANI HIVYO KILA ANAPOONDOKA HUWAKABIDHI JUKUMU HILO EAPOTI NA ANPORUDI WAO HUMPA RIPOTI HAPOHAPO MAHALI WALIPOKABIDHIANA, MMEMSAHAU GEWE! hiyo ndiyo demokrasia simnajua viongozi wengi wa ccm ni wanajeshi wastaafu.
ReplyDeleteHAWA JAMAA WANAENDA KUHAKIKISHA KUNA USALAMA WA MIZIGO YA BWANA MKUBWA JULIUS NYERERE INTERNATIONAL AIRPORT, WANAIMARISHA USALAMA.
ReplyDeletehapo kikwete anasema yaani bado tu, mzigo haujafika kwenye mkanda, mkuu wa mkoa anajibu ah! bosi usihofu kuna vijana wangu wakazi nimewaweka wanakagua kuona kama kila kitu kiko sawa.
ReplyDeletei love that idea kwa aloitoa its something to consider and a waste of resourses.rais anaondoka msafara anarudi kupokelewa watu lukuki na msafara.good point ma bro
ReplyDeleteJamani lazima mkumbuke kuwa Raisi sio mtu. Raisi ni taasisi (institution). Hao viongozi kwenda anapoondoka na kurudi ni Itifaki (Protocol). Raisi hasafiri peke yake ni taasisi nzima.
ReplyDeleteMimi nadhani hao viongozi wanaokwenda kumpokea rais hawajui hata kwa nini wanashika nyadhifa walizo nazo achalia mbali kutokua na kazi!Wao wamejijazia nafasi walizopewa tu.Maana haya ni mambo ya ki-ROBOT.Very sickning!!!
ReplyDeletesawa raisi ni taasisi. na giza je?ni nini? au protocol yake ni hipi?
ReplyDeleteHii ndio staili yetu bwana, wee acha kwenda kumsindikiza/kumpokea mkuu uone kama kibarua chako kitakaa! Kazi nzurii.. asikwambie mtu hata kama kwa kujikombakomba!
ReplyDelete