











Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
weka picha zaidi maana nakiskia tu hiko kituo cha utamaduni!
ReplyDeleteako nanihii mbona hilo sanamu lipo uchi wa mnyama?
ReplyDeleteni ishara ya kutunza utamaduni wa mtanzania na mwafrika pia. ee bwana inapendeza kinoma, ila yaliyomo yaendane kweli na mtanzania.
ReplyDeleteNingekuwa huyo mmasai ningekushitaki, Michuzi...
ReplyDeleteSafi Sana,
ReplyDeleteThis is what I Like To See, Sasa OWNER ni Mzawa au mgeni!?
SzB.
Bravoooo sasa hii kitu ijengwe katika mikoa mbalimbali ili kuhifidha local mila and arts za sehemu hizo
ReplyDeleteowner ni mpakistan anaitwa seif
ReplyDeletemichuzi wahisani wanataka mkapa apelekwe mahakamani kujibu mashtaka ya ufisadi, na wewe umeanza kufanana na mkapa (kitumbo) itabidi ufuatilie!!! take that to the bank mother++f
ReplyDeleteTHANK YOU BRO MICHUZI, kazi yako nzuri tunashukuru kutuonya hilo jendo zuri sana
ReplyDeleteMjomba Uncle Nanihii, haya ndio mambo tunayotaka yaendelee Bongo, sio siasa tu. I am thrilled +) FirePower, UK
ReplyDeleteJe architecture ni mzawa au...Jina lake tungelipewa basi...jengo limetulia sana na nikikumbuka mandari ya Arusha moyo unanisisimuka
ReplyDeleteHI! Bro' nimefurahi sana kwa picha nzuri hiyo inaonyesha kiasi gani na sisi tunaweza ila tupunguze umimi na ufisadi TUIJENGE TZ yetu.
ReplyDeleteSasa hilo jengo ni la Serikali au Mtu binafsi au Ngo's? hapo tu sijaelewa.
RUSHWA NI ADUI WA HAKI!
MUNGU IBARIKI TZ
MUNGU IBARIKI AFRIKA
This is awesome
ReplyDeleteMannnn Kukaya muswamu ile mbaya, umenikumbusha mbali Bro. Mathupu nipigie picha za mitaani A-Tauni hasa maeneo ya sakina, majengo, ngarenaro na kijenge nataka kuona hiyo mitaa inaonekanaje kwani niliondoka miaka 15 iliyopita nina twasira tofauti kabisa kichwani mwangu! Nimefurahi sana kuona hayo maendeleo ya mji wangu wa Arusha!
ReplyDeleteKAzi nzuri Mathupu na manyama kulaaa!
Tatizo ni kwa lazima kitakuwa under uwekezaji, maana nikiangalia tu mkurugenzi nahisi kituo ni cha wawekezaji, yaani kama ni hivyo ni aibu tupu kwa wizara ya utalii kushindwa kufanya hilo wenyewe.
ReplyDeleteNani anamiliki?Serikali???Ama?Nanihii?
ReplyDeleteAnonymous Thu Oct 01, 11:09:00 PM
ReplyDeleteAfadhali usimjue owner kwa sababu ukimjua utakasirika. Mambo yaliyomo umo ndani utafikiri Anthropological artifacts ya enzi za kina Magreth Mead. Upuuzi mtupu!
Michu,nataka kujua mkuu,hili jumba na vitu vyake ni mali yetu SOTE au ni la mtu mmoja????maelezo pls
ReplyDeleteNafurahi sana kuona mambo mazuri kama haya yakifanyika nyumbani. Ni ubunifu mzuri na wa kuigwa.
ReplyDeletePia ndugu zetu wahindi siku hizi wameacha kuogopa kujenga. Maana zamani walikuwa wanasema hawataki kujenga kwasababu watamjengea Nyerere.
mambo ya fwedha michuzi, naona mwendo na upigaji wa picha hapo chini mkono mfukoni.
ReplyDeletemamaaaa culture...wow.....
ReplyDeletemzee wa libeneke
ReplyDeleteebu jibu dukuduku letu umu ndani sio watangaza tuu ilhali mtu/mgeni akikuuliza who owned that?govt or a person?macho yatutoke
MJENGO WA NANI?
Jamani eh mmiliki ni mzawa ambaye ni Mtanzania kabila lake ni mpakistani. Mimi natoka Arusha huyo jamaa anaitwa seifu. Ni mswahili na ni mtoto wa mjini Arusha. So? Let us be proud
ReplyDeleteTUWE WA KWELI KAMA JAMAA ASINGEJENGA JE NI MTU GANI ANGEFIKIRIA HIVYO KUTENGEZA SEHEMU YA KUVUTIA WATALII, ILA JAMANI TUACHE UPUMBAVU WA KUSUBURI MTU ABUNI NA KUANZA KUKOSOA SANA BILA SABABU, NA SISI TUJARIBU PIA KUBUNI VITU VYETU PIA ILI TUWEZE KUPIKU WATU MBALI MBALI NDIO MAENDLEO HAYO, TUACHE CHUKI ZISIZO JENGA ILA MUWE HURU VILE VILE KUKOSOA.
ReplyDeleteWa TZ ttz tunapenda siasa nyingi na umbea, eti nani kajenga? ina maana hakuna vyombo vinavohusika na uwekezaji TZ kutoa kibali!! cha kwanza tungeuliza mtu wa chini anafaidika vipi na uwekezaji huo,hakuna hata mmoja aliyeuliza hilo kati ya maoni yote hapo juu!! UPEO MDOGO,HATUNA WIVU WA MAENDELEO,kwa uwelewa wangu nia mojawapo ni kutangaza na kuingiza mapato. Ajira kwa watengeneza vinyago, nk!
ReplyDelete1.JE MTANZANIA ANAFAIDIKA VIPI? AMA BADO UAGIZAJI WA VINYAGO KUTOKA NCHI NYINGINE UNASHAMIRI (Kenya nk).
2.MJI WA ARUSHA UTAFAIDIKA VIPI KUPITIA BIASHARA HIYO(MAPATO), BARABARA,HOSPITAL,ELIMU(SHULE ZA MSINGI)?
AKIMILIKI WAKUJA,AMA MZAWA,AMA SERIKALI SIO HOJA, Michuzi tufanyie utafiti plz!
Hivi mchongaji wa sanamu ya jamaa wa kimasai aliishiwa na gogo la mti wa mpingo kabla ya kumalizia kazi?
ReplyDeleteKama ni hivyo basi Cultural heritage waombe kibali maliasili wapate kibao cha mpigo wamalizie rubega ya jamaa yetu huyo.
Ni vizuri kituo hiki kuhakikisha kazi zinazoonyeshwa ktk kituo hicho ni za kiwango cha juu kabisa, ili dhana ya kuwa kuvutio cha kimataifa kifikiwe.
Mdau
Lotagolieki Mollel.
Kwa taarifa yenu the last time President Clinton came to Arusha alifika hapo lakini jengo hili lilikuwa bado halijakamilika alinunua vinyago vya thamani ya dola 1 millioni. Wallahi sitanii. Nmzigo ulikuwa heavy haswa ukabebwa na ndege iliyokuwa inaisindikiza Airforce One. Mpaka TRA walipata kizungunzungu.
ReplyDeleteMwacheni Seifu bwana anaujenga uchumi wa Arusha. Na kule sehemu za njirio karibu na uwanja wa nane nane wamejenga pia a shopping centre ambayo ni kivutio kizuri cha A town. Sema tu katikati ya jiji hilo hakuna miundombinu mizuri. I wish A town was Moshi. Maana Moshi layout yake ni super
Huyu jamaa mwenye mali ni mtoto wa mjini kazaliwa na kukulia na kusomea hapo hapo Arusha nafahamu familia yake ni watu wema sana na yeye jamaa ni mchapa kazi hasa.
ReplyDeleteI'M PROUD OF HIM
Sasa mara mpakistani...mara mtanzania...inakuwa vipi hiii????a
ReplyDelete