

Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
kaka samahani hivi ili jengo wamejenga au wamelikodisha umoja Eu wana kakibanda ama kweli wathungu hawana haja ya kuendeleza africa zaidi ya kunyonya damu zetu
ReplyDeletehuyo Richie angefuga nywele halafu aweke jelly watu wangedhani ni Jarmein Jackson..hahaha,duniani wawili wawili.
ReplyDeleteYaani tumewaacha mbali hivi?hebu wakajifunze na jengo letu tulilojenga Nairobi na Marekani?Kumbe hawa hawana pesa kushinda sisi.
ReplyDeletenaona kuna dalili za kutafuta karatasi za EU.
ReplyDeleteUmegundua nini, wakati wenzetu wenye fuedha wanajibana kwa kuwa na nyumba ya kawaida, huku TZ. Sisi waTZ tunaongoza kwa kuwa na majengo mazuri na majumba mazuri ya maofisa wetu nje.
ReplyDeleteBongo tambarare!!!!!!!!!!!!!!!!!
kaaa ulaya au marikani.