mdau akipandisha bendera kwenye makazi mapya wa balozi wa umoja wa nchi za ulaya (eu) nchini sehemu za masaki
balozi mkazi wa umoja wa ulaya (eu) nchini balozi tim clarke akiongea wakati wa uzinduzi wa makazi yake mapya sehemu za masaki jijini dar leo

wageni waalikwa kwenye hafla hiyo

wadau wa ofisi mbalimbali za nchi za ulaya

mdau richie swai (shoto) akiwa na wadau wengine kwenye ufunguzi huo

wadau wa eu wakijiandaa kuimba wimbo wa taifa






Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 5 mpaka sasa

  1. kaka samahani hivi ili jengo wamejenga au wamelikodisha umoja Eu wana kakibanda ama kweli wathungu hawana haja ya kuendeleza africa zaidi ya kunyonya damu zetu

    ReplyDelete
  2. huyo Richie angefuga nywele halafu aweke jelly watu wangedhani ni Jarmein Jackson..hahaha,duniani wawili wawili.

    ReplyDelete
  3. Yaani tumewaacha mbali hivi?hebu wakajifunze na jengo letu tulilojenga Nairobi na Marekani?Kumbe hawa hawana pesa kushinda sisi.

    ReplyDelete
  4. naona kuna dalili za kutafuta karatasi za EU.

    ReplyDelete
  5. Umegundua nini, wakati wenzetu wenye fuedha wanajibana kwa kuwa na nyumba ya kawaida, huku TZ. Sisi waTZ tunaongoza kwa kuwa na majengo mazuri na majumba mazuri ya maofisa wetu nje.
    Bongo tambarare!!!!!!!!!!!!!!!!!
    kaaa ulaya au marikani.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...