ukiondoa kwikwi ya mabomu eneo la mbagala jijini dar hivi sasa ni tambarare baada ya kukamika ujenzi wa barabara ya kilwa rodi

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 6 mpaka sasa

  1. Kaka MICHUZI...masahihisho sio kukamika ni Kukamilika ahaaaa.Kazi njema kaka!!!
    Mdau-Ukerewe.

    ReplyDelete
  2. kaka michuzi sie tunaoishi mbagala hii ni ramani iliyokamilika bado tunasubiri jakaya kikwete aje kujenga barabara. Tunahitaji mvua za kawaida mbili tu kudhihirisha ukweli wa habari hii kwamba ile ni ramani. kwanza hawajafika mwisho wa barabara na sijui kizunguzungu gani kinatokea katika eneo la Mbagala tatu, matokeo wanalazimika askari zaidi ya sita kusimamia nidhamu au la hakuna usafiri na ujambazi unaweza kutokea tena kama mwanzo wakitumia kivuli cha vurugu za magari mbagala tatu

    ReplyDelete
  3. Nimepiga safari sana huko, kumbukumbu nyingi tu. Mbagala>>>>sinza.

    ReplyDelete
  4. mimi nafikiri cha msingi zaidi ni kuzitunza hizi barabara tumepata tabu sanampaka hivi leo kuzimiliki,tusiwe waharibifu zina tusaidia wenyewe na ndio maendeleo ya nchi

    ReplyDelete
  5. Ehhhh jamani Mbagalla...St Anthony A - Level enzi za Masabo, Turuka, Kichonge (RIP)....Mpo wapi jamani??????? Mnakumbuka lile basi kubwaaaa lilikua linatokea sijui Mikocheni/Kinondoni tulikua tunalipanda kuanzia Posta ya zamani. Lilikua linakimbizwa hilo, lina ruka ruka tu na lile vumbi ukifika shule uko hoi.

    Ohhhhhhh well those were the days

    Sasa hivi naona ni kutambaa tu na lami hiyo ukifika skull uko freshhhhhhhhhhh

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...