Home
Unlabelled
mbagala tambarare
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Kaka MICHUZI...masahihisho sio kukamika ni Kukamilika ahaaaa.Kazi njema kaka!!!
ReplyDeleteMdau-Ukerewe.
kaka michuzi sie tunaoishi mbagala hii ni ramani iliyokamilika bado tunasubiri jakaya kikwete aje kujenga barabara. Tunahitaji mvua za kawaida mbili tu kudhihirisha ukweli wa habari hii kwamba ile ni ramani. kwanza hawajafika mwisho wa barabara na sijui kizunguzungu gani kinatokea katika eneo la Mbagala tatu, matokeo wanalazimika askari zaidi ya sita kusimamia nidhamu au la hakuna usafiri na ujambazi unaweza kutokea tena kama mwanzo wakitumia kivuli cha vurugu za magari mbagala tatu
ReplyDeleteNimepiga safari sana huko, kumbukumbu nyingi tu. Mbagala>>>>sinza.
ReplyDeleteeeeh!!
ReplyDeletemimi nafikiri cha msingi zaidi ni kuzitunza hizi barabara tumepata tabu sanampaka hivi leo kuzimiliki,tusiwe waharibifu zina tusaidia wenyewe na ndio maendeleo ya nchi
ReplyDeleteEhhhh jamani Mbagalla...St Anthony A - Level enzi za Masabo, Turuka, Kichonge (RIP)....Mpo wapi jamani??????? Mnakumbuka lile basi kubwaaaa lilikua linatokea sijui Mikocheni/Kinondoni tulikua tunalipanda kuanzia Posta ya zamani. Lilikua linakimbizwa hilo, lina ruka ruka tu na lile vumbi ukifika shule uko hoi.
ReplyDeleteOhhhhhhh well those were the days
Sasa hivi naona ni kutambaa tu na lami hiyo ukifika skull uko freshhhhhhhhhhh