Marehemu Charles Wilbrad Maro, aliyefariki Jumamosi ilopita jijini Dar, anaagwa leo kuanzia saa tatu asubuhi nyumbani kwao Mbezi juu njia ya GOBA kabla maiti yake kusafirishwa leo hii saa nane kwenda MOSHI kwa mazishi.
Kwa mujibu wa Mfuko wa Pensheni wa Watumishi wa Umma (PSPF), Marehemu anatarajiwa kuzikwa nyumbani kwao kesho Jumatano Moshi mjini mkoani Kilimanjaro.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 25 mpaka sasa

  1. JESUS!! DONT TELL ME KUWA HUYU KAKA AMEFARIKI JAMANI!!!!! UNCLE MICHU HUYU KAKA KAFA KWANINI KAUGUA JAMANI? OOOOHHH SOOO SAD KWAKWELI

    ReplyDelete
  2. R.I.P Charles Maro.

    ReplyDelete
  3. R.I.P shem

    Mrs. Manja

    ReplyDelete
  4. RIP Chalz,he was my classmate UDSM BCOM 2002-2005

    ReplyDelete
  5. I am so shocked with untimely death of this very young man. He was my classmate BCom UDSM 2002-2005. Pole wafanyakazi wenzake hasa wale ambao walikuwa pia classmate wao UD

    RIP Charles,

    ReplyDelete
  6. RIP... Charles he was very young just 28yrs na ndio kwanza alipata post ya Masters pale UD maskini.. alianguka bafuni ghafla tu na kufariki. oooh boy RIP....!

    ReplyDelete
  7. SO SAD,POLE SANA TUFAINA,CHALE TULISOMA NAE MLIMANI SHULE YA MSINGI CLASS 94 SO SHOCK,PLEASE ANAYEJUA KILICHOMUUA NI NINI

    ReplyDelete
  8. POLENI SANA WANA CHUOKIKUU NA WANA MLIMANI TUMEMPOTEZA CHARLE MARO

    ReplyDelete
  9. mungu ailaze roho yake mahali pema peponi...amen.

    ReplyDelete
  10. R.I.P Charles,Poleni sana Ndugu na Jamaa.

    Derrick

    ReplyDelete
  11. Marehemu Charles Maro. Kijana namkumbuka akikua na mcheshi tangu utoto wake. Na sauti yake ya pekee. Ni huzuni kubwa sana. Ulale kwa amani mdogo wangu.Kwa neema ya Mungu Yesu atakufufua atakaporudi. Mungu awape faraja na amani familia yake na ndugu zake wote katika kipindi hiki kigumu sana kwao na kwa sisi kama majirani na ndugu zake.
    Mdau Calgary, Alberta

    ReplyDelete
  12. RIP Charles Marro.

    mdau.

    ReplyDelete
  13. Nakumbuka msg yako ya mwisho unaniambia ndo nimetua dar siku ya ijumaa sikujibu kumbe ndo hurudi tena shinyanga ma brother. M.M

    ReplyDelete
  14. R.I.P charle.mungu alitoa na mungu ametwaa.tunakumiss sana na tunashindwa kuamini kama haupo nasi.

    ReplyDelete
  15. R.I.P Charles, you will always be remembered love...My condolence to the family and PSPF team

    ReplyDelete
  16. Nitakukumbuka daima Charles Maro. Kila nitakapokuwa naingia Dodoma nitakukumbuka sana, Rest in Peace.
    S.A.M

    ReplyDelete
  17. Nitakukumbuka daima Charles W. Maro. Kila nitakopokuwa Dodoma itakuwa ni kumbukumbu juu yako. Rest in Peace kaka. S.A.M

    ReplyDelete
  18. Duh! Rest in Peace my friend, I still remember him when we use to meet, i met this guy at UDSM 2002-2005 and then we use to meet out, but didnt see him for couple of months.
    Poleni wote! Tumepoteza Rafiki.
    Halla

    ReplyDelete
  19. RIP Charles Maro, nakumbuka old skul mzee Mlimani primary na Mzizima Secondary daah so sad news.

    ReplyDelete
  20. R.I.P Charles W Maro.

    This was so soon man,,, so soon!!!

    mdau, LP

    ReplyDelete
  21. gone tooo soooon charlz, last week tumechat kwenye facebook, hata siamini it was the last time u were saying bye.!RIP

    ReplyDelete
  22. RIp My young Bro Charles Maro. Yote hii ni kazi ya Mungu. Poleni sana familia haswa ikikumbukwa kuwa ni mwezi wa nane tu mwaka huu baba yake Charles Dr. Wilbard Maro alifariki. Mungu ametoa na Mungu ametwaa jina lake lihimidiwe

    ReplyDelete
  23. R.I.P Charles maro .. mhh inasikitisha sana cz like 2 month agoo baba katangulia and nuw mtoto , yaani mungu amtangulie huko alipo nuw na ampe makazi mema.... kazi ya mungu haina makosa , may his soul rest in peace and may God give da family strength to recover from diz .. Truphaina mumii tupo pamoja

    ReplyDelete
  24. RIP bro, Mungu awape moyo wa ujasiri familia na ndugu waliopata msiba huu.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...