
Kwa mujibu wa Mfuko wa Pensheni wa Watumishi wa Umma (PSPF), Marehemu anatarajiwa kuzikwa nyumbani kwao kesho Jumatano Moshi mjini mkoani Kilimanjaro.
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
JESUS!! DONT TELL ME KUWA HUYU KAKA AMEFARIKI JAMANI!!!!! UNCLE MICHU HUYU KAKA KAFA KWANINI KAUGUA JAMANI? OOOOHHH SOOO SAD KWAKWELI
ReplyDeleteR.I.P Charles Maro.
ReplyDeleteR.I.P shem
ReplyDeleteMrs. Manja
RIP Chalz,he was my classmate UDSM BCOM 2002-2005
ReplyDeleteI am so shocked with untimely death of this very young man. He was my classmate BCom UDSM 2002-2005. Pole wafanyakazi wenzake hasa wale ambao walikuwa pia classmate wao UD
ReplyDeleteRIP Charles,
RIP... Charles he was very young just 28yrs na ndio kwanza alipata post ya Masters pale UD maskini.. alianguka bafuni ghafla tu na kufariki. oooh boy RIP....!
ReplyDeleteSO SAD,POLE SANA TUFAINA,CHALE TULISOMA NAE MLIMANI SHULE YA MSINGI CLASS 94 SO SHOCK,PLEASE ANAYEJUA KILICHOMUUA NI NINI
ReplyDeletePOLENI SANA WANA CHUOKIKUU NA WANA MLIMANI TUMEMPOTEZA CHARLE MARO
ReplyDeletemungu ailaze roho yake mahali pema peponi...amen.
ReplyDeleteR.I.P Charles,Poleni sana Ndugu na Jamaa.
ReplyDeleteDerrick
Marehemu Charles Maro. Kijana namkumbuka akikua na mcheshi tangu utoto wake. Na sauti yake ya pekee. Ni huzuni kubwa sana. Ulale kwa amani mdogo wangu.Kwa neema ya Mungu Yesu atakufufua atakaporudi. Mungu awape faraja na amani familia yake na ndugu zake wote katika kipindi hiki kigumu sana kwao na kwa sisi kama majirani na ndugu zake.
ReplyDeleteMdau Calgary, Alberta
RIP Charles Marro.
ReplyDeletemdau.
Nakumbuka msg yako ya mwisho unaniambia ndo nimetua dar siku ya ijumaa sikujibu kumbe ndo hurudi tena shinyanga ma brother. M.M
ReplyDeleteR.I.P charle.mungu alitoa na mungu ametwaa.tunakumiss sana na tunashindwa kuamini kama haupo nasi.
ReplyDeleteR.I.P Charles, you will always be remembered love...My condolence to the family and PSPF team
ReplyDeleteNitakukumbuka daima Charles Maro. Kila nitakapokuwa naingia Dodoma nitakukumbuka sana, Rest in Peace.
ReplyDeleteS.A.M
Nitakukumbuka daima Charles W. Maro. Kila nitakopokuwa Dodoma itakuwa ni kumbukumbu juu yako. Rest in Peace kaka. S.A.M
ReplyDeleteDuh! Rest in Peace my friend, I still remember him when we use to meet, i met this guy at UDSM 2002-2005 and then we use to meet out, but didnt see him for couple of months.
ReplyDeletePoleni wote! Tumepoteza Rafiki.
Halla
RIP Charles Maro, nakumbuka old skul mzee Mlimani primary na Mzizima Secondary daah so sad news.
ReplyDeleteR.I.P Charles W Maro.
ReplyDeleteThis was so soon man,,, so soon!!!
mdau, LP
gone tooo soooon charlz, last week tumechat kwenye facebook, hata siamini it was the last time u were saying bye.!RIP
ReplyDeleteRIp My young Bro Charles Maro. Yote hii ni kazi ya Mungu. Poleni sana familia haswa ikikumbukwa kuwa ni mwezi wa nane tu mwaka huu baba yake Charles Dr. Wilbard Maro alifariki. Mungu ametoa na Mungu ametwaa jina lake lihimidiwe
ReplyDeleteR.I.P Charles maro .. mhh inasikitisha sana cz like 2 month agoo baba katangulia and nuw mtoto , yaani mungu amtangulie huko alipo nuw na ampe makazi mema.... kazi ya mungu haina makosa , may his soul rest in peace and may God give da family strength to recover from diz .. Truphaina mumii tupo pamoja
ReplyDeleteRIP bro, Mungu awape moyo wa ujasiri familia na ndugu waliopata msiba huu.
ReplyDeleteRIP!
ReplyDelete