Tanzanian basketball coaches from nine regions of Mainland Tanzania and Zanzibar stopped at the U.S. Capitol Building during their first tour of Washington DC.
The group arrived in the United States for their U.S.-sponsored “U.S.-Tanzania Basketball Coaches Exchange.”
The exchange, provided by the American people, runs from September 28 through October 13, 2009 in Washington D.C.; and the states of Virginia; Maryland; and Texas.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 11 mpaka sasa

  1. Msaada kwenye tuta kaka Michuzi.

    Kuna wakati umeshawahi kutuletea wadau tovuti ya vijana wataalamu wa ku-design michoro na picha (paints) za nyumba, je waweza kuwabandika tena? tafadhari saidia kaka.

    mdau Dar

    ReplyDelete
  2. Poa mkuu!
    lakini tulikuomba majina yao kabla ya kusafiri uka-mute.
    still tunaomba majina na mikoa waliotoka.

    ReplyDelete
  3. Big Mama (Evarist), Frank Simkoko na Bahati Mgunda ndani nyumba - Inapendeza sana :)!
    Asante

    ReplyDelete
  4. Matari, New Albany, OhioOctober 04, 2009

    Wadau karibuni tupige boksi, huku wajanja huwa hawarudi bongo hata kwa bakora. Mliofikia DC mtafuteni Albert Matesso ambaye nae alikuwa kocha huko Bongo na sasa tuko nae hapa tunakula nae halal meat( Teh Teh !!!!!!!!!!!). Nina uhakika watrudi watatu au viongozi peke yao.
    Mwenye shida ya mahali pa kuanzia maisha, aweke namba yake ya simu hapa nitamsaidia.

    ReplyDelete
  5. weka picha wakiwa ndani ya jengo.

    ReplyDelete
  6. Did they visit inside or outside the building ?

    ReplyDelete
  7. Wadau wa mujini
    Hawa makocha wapo hoteli gani,ningependa kuwasalimia nipate harufu ya nyumbani.

    ReplyDelete
  8. Duuh!? Hakuna sura hata moja ya Kange, Zonga au Abdallah Aboud!

    ReplyDelete
  9. Patrick-MagazetiOctober 04, 2009

    Magazeti-Analonga,

    Kange, Zonga, and Abadalah wameanzisha mchezo na sasa bahati mgumba naye hupo states....tumecheza naye sana pale Ghmkhana enzi ya miaka ya 80's na 90's. Bahati Mgunda tuwasiliane pnhigula@yahoo.com

    ReplyDelete
  10. Makocha wa basket? Keep it clean,sio wote walio ktk hii picha wana any dalili ya kuujua mchezo huu.Tangu "Ngongoti" a.k.a Hashimu aanze kujulikana basi imeshakuwa taab

    ReplyDelete
  11. Dunia haisimami na kikapu pia akisimami usitegemee kila siku kuwaona watu wale wale maendeleo ni pamoja na kupata sura mpya na zaidi za makocha ili kuinua kiwango nawatakia mafanikio ktk ziara yenu hasa makocha toka nje ya dar ili kuinua kikapu nchini

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...