sasa unakaribia same
unapokaribia mombo ukitokea moshi mandhari ni kama hivi


Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 8 mpaka sasa

  1. nikiona hizo barabara unanikumbusha motorway za europe.

    ReplyDelete
  2. Usiniambie motorways za Europe ziko hivyo. Mi naishi England na nimetembea miji na nchi mbalimbali za Europe, barabara hizo ni A road hazifanani kabisa na motorway.

    ReplyDelete
  3. MOTORWAY YA EUROPE GANI IKO HIVYO, ACHA UONGO LABDA UKARANE NA POLAND!! ANGALIA MCHANGA HUO PEMBENI NA UKAME, EUROPE HASWA KAMA ITALY, UK, GERMANY, FRANCE UTAONA KIJANI KITUPU NA TWO WAYS EACH WAY WIT FOUR LANES, LAINI SWAFI, HUO NI UHORO TUPU. CHUKUA M6 LONDON(ENGLAND) TO GLASGOW(SCOLAND)UTAZIMIA!!!!

    ReplyDelete
  4. Duh,
    Unanikumbusha mbalii enzi natoka Dar kwenda Moshi kwa reli. Eeh bwana eeeh. -Ndesamburo

    ReplyDelete
  5. WATU WA BUKOBA MNAIONA MOSHI ILIVYONAKSHIWA? haiihitaji PHD wala Oxford wala Cambridge

    koku

    ReplyDelete
  6. Yaani hiyo milima iko vipara kabisa wamemaliza miti yote halafu tunalalamika ukame na upungufu wa mvua wakati sisi wenyewe ndio chanzo

    ReplyDelete
  7. Waosha vinywa jaribuni kidogo kuelewa Comments za wengine kabla hujaanza kupayuka.Mlitaka mtoa maona wa kwanza mpaka hiyo road iwe sawasawa na za europe ndo aweze kukumbuka? Kumbukumbu ya kitu inaweza kukujia kwa njia nyingi sana tofauti na mnavyofikiria.

    ReplyDelete
  8. HALLLOOO

    MREVEDIIII?

    DUH YOU HAVE REMINDED ME OF CLOSE TO HOME MAN...YEAH CLOSE TO HOME MITAA YA KWETU NAPAMIND KINOMA!!! dUH MAKANYA MJIANDAE NAJA HII DISEMBA...DAH ALAFU RATE YA DOLA MAKANYA IKO JUU KULIKO SEHEMU YOYOTE BONGO! MAMBO YA LAS VEGAS-MWANIELEWA LAKINI?
    NICE ONE MICHUZI. MY ROOTS MY VILLAGE! I'M TOUCHED
    MICHUZI UKO JUUU JUU JUUU ZAIDI!. TULETE PICHA ZA WAREMBO WETU NA VABWANGE? NI THITHI THITHIII NDO WENYEWEE.URONGA NDIMA EDI KABISA.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...