Home
Unlabelled
taswira ya mombo na same
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
nikiona hizo barabara unanikumbusha motorway za europe.
ReplyDeleteUsiniambie motorways za Europe ziko hivyo. Mi naishi England na nimetembea miji na nchi mbalimbali za Europe, barabara hizo ni A road hazifanani kabisa na motorway.
ReplyDeleteMOTORWAY YA EUROPE GANI IKO HIVYO, ACHA UONGO LABDA UKARANE NA POLAND!! ANGALIA MCHANGA HUO PEMBENI NA UKAME, EUROPE HASWA KAMA ITALY, UK, GERMANY, FRANCE UTAONA KIJANI KITUPU NA TWO WAYS EACH WAY WIT FOUR LANES, LAINI SWAFI, HUO NI UHORO TUPU. CHUKUA M6 LONDON(ENGLAND) TO GLASGOW(SCOLAND)UTAZIMIA!!!!
ReplyDeleteDuh,
ReplyDeleteUnanikumbusha mbalii enzi natoka Dar kwenda Moshi kwa reli. Eeh bwana eeeh. -Ndesamburo
WATU WA BUKOBA MNAIONA MOSHI ILIVYONAKSHIWA? haiihitaji PHD wala Oxford wala Cambridge
ReplyDeletekoku
Yaani hiyo milima iko vipara kabisa wamemaliza miti yote halafu tunalalamika ukame na upungufu wa mvua wakati sisi wenyewe ndio chanzo
ReplyDeleteWaosha vinywa jaribuni kidogo kuelewa Comments za wengine kabla hujaanza kupayuka.Mlitaka mtoa maona wa kwanza mpaka hiyo road iwe sawasawa na za europe ndo aweze kukumbuka? Kumbukumbu ya kitu inaweza kukujia kwa njia nyingi sana tofauti na mnavyofikiria.
ReplyDeleteHALLLOOO
ReplyDeleteMREVEDIIII?
DUH YOU HAVE REMINDED ME OF CLOSE TO HOME MAN...YEAH CLOSE TO HOME MITAA YA KWETU NAPAMIND KINOMA!!! dUH MAKANYA MJIANDAE NAJA HII DISEMBA...DAH ALAFU RATE YA DOLA MAKANYA IKO JUU KULIKO SEHEMU YOYOTE BONGO! MAMBO YA LAS VEGAS-MWANIELEWA LAKINI?
NICE ONE MICHUZI. MY ROOTS MY VILLAGE! I'M TOUCHED
MICHUZI UKO JUUU JUU JUUU ZAIDI!. TULETE PICHA ZA WAREMBO WETU NA VABWANGE? NI THITHI THITHIII NDO WENYEWEE.URONGA NDIMA EDI KABISA.