Vodacom Miss Tanzania 2009, Miriam Gerald akipokea mfano wa hundi ya shs milioni 9 kutoka kwa Ofisa Mkuu wa Mahusiano wa kampuni ya Vodacom Group (Vodacom Group Chief Officer of Corporate Affairs, Bob Collymore ikiwa ni moja ya zawadi kwa kutwaa ushindi huo wakati wa hafla ya kuwapongeza iliyofanyika kwenye Hoteli ya Giraffe, jijini Dar usiku kuamkia jana. Zawadi za fedha za washindi wa shindano hilo zitaingizwa katika akaunti zao zilizofunguliwa katika benki ya Kenya Commercial Bank.

Mshindi wa pili wa Vodacom Miss Tanzania 2009, Beatrice Lukindo akitabasamu baada ya kupokea mfano wa hundi ya shs milioni 6.2 kutoka kwa Ofisa Mkuu wa Mahusiano wa kampuni ya Vodacom Group (Vodacom Group Chief Officer of Corporate Affairs, Bob Collymore ikiwa ni moja ya zawadi kwa kutwaa ushindi huo wakati wa hafla ya kuwapongeza iliyofanyika kwenye Hoteli ya Giraffe, Dar
Mshindi wa tatu wa Vodacom Miss Tanzania 2009, Julieth William akipokea mfano wa hundi ya shs milioni 4 kutoka kwa Ofisa Mkuu wa Mahusiano wa kampuni ya Vodacom Group (Vodacom Group Chief Officer of Corporate Affairs, Bob Collymore ikiwa ni moja ya zawadi kwa kutwaa ushindi huo wakati wa hafla ya kuwapongeza iliyofanyika kwenye Hoteli ya Giraffe,

Mshindi wa nne wa Vodacom Miss Tanzania 2009, Sylivia Shally akipokea mfano wa hundi ya shs milioni 3 kutoka kwa Ofisa Mkuu wa Mahusiano wa kampuni ya Vodacom Group (Vodacom Group Chief Officer of Corporate Affairs, Bob Collymore ikiwa ni moja ya zawadi kwa kutwaa ushindi huo wakati wa hafla ya kuwapongeza iliyofanyika kwenye Hoteli ya Giraffe.
Miriam akijichanganya na wadau wa urembo katika kuselebuka na washiriki wa shindano la Vodacom Miss Tanzania 2009 katika hafla ya kuwapongeza kwenye Hoteli ya Giraffe.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 5 mpaka sasa

  1. Ebu chekini hiyo picha ya kwanza, kwa nyuma binti ni mwafrika halisi!

    ReplyDelete
  2. Dar kweli changanyikeni, wengine wamevaa majaketi ya jens, wengine migongo wazi,wengine vimini na kadhalika. Sasa swali ni je hapo kulikuwa na joto, baridi, au vipi?

    ReplyDelete
  3. MP
    Wewe unaona tu kwa nyuma sio. Mruka ukuta nini wewe?

    ReplyDelete
  4. Hako kasambaa namba mbili kana mvuto sana

    ReplyDelete
  5. HAPA SIJAELEWA KAKA MICHUZI,MSHINDI WA KWANZA MILIONI MOJA NA MSHINDI WA PILI MILIONI SITA...EBU CHEKI VIZURI..MONEY.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...