Memphis Grizzlies rookie center Hasheem Thabeet, the second overall pick in the June draft, left Tuesday night's game against the Portland Trail Blazers with a broken jaw.

The 7-foot-3 center from UConn was injured late in the first quarter during a battle under the Memphis basket. Replays appeared to show Thabeet's jaw colliding with forward Zach Randolph's head.

Thabeet had just entered the game a minute earlier.Thabeet was playing in his seventh game of the season. He had scored four points and grabbed 11 rebounds in his previous six games, and also recorded six blocks.More click here

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 20 mpaka sasa

  1. Namuombea Mungu ampe uponyaji wa haraka...kijana wetu.

    ReplyDelete
  2. atizame tu asije kuishia kama Matumla sasa hivi matumla nakumbuka serikali ilikuwa inamualika ma ikulu inamnyanyulia bendera ya taifa inampapatikia sasa hivi matumla hana Kitu na nahuwakika anawaomba msaada wanamkimbia baada kumkimbilia Thabeet ajitizame sana. Kimaro.

    ReplyDelete
  3. pole sana kaka. Welcome to the NBA its rough and tough.

    ReplyDelete
  4. nshimimana aka dumisaneNovember 12, 2009

    I wish You Speedy Recovery. Haya!

    = = =
    Buffalo (nashangilia Grizzlies),
    New York

    ReplyDelete
  5. Pole kijana.

    Kaza buti katika masomo na na katika mchezo.
    Punguza kutafuta sifa kwenye vyombo vya habari n.k. Ssafari yako bado ni mbichi sana.

    Kuonekana kwenye ma TV na Ikulu kunakuja kwenyewe polepole wakati ukitimu.s

    ReplyDelete
  6. Obviously it's impossible to blame anyone for this, it was clearly an accident that was, in almost every way, Hasheem Thabeet's fault. He was rushing headlong into Zach and about three Portland players to try to grab a rebound he couldn't even get near. Rookie bigs always need to learn how to slow down, both in terms of contesting too many shots and fouling as well as on the boards -- Thabeet's rookie lesson just hurt a little more then others.

    ReplyDelete
  7. we anonymous hapo juu acha uswahili. badala ushukuru kuna kijana wa tanzania anapresent nchi yake unaanza kuleta majungu. Mtu anatafutaje sifa kwenye vyombo vya habari vyenyewe sivinamwita. Unamwambia akazane na masomo na wewe inabidi urudi shule ukasome ili uandike comment za maana.
    Mdau Mkereketwa

    ReplyDelete
  8. waswahili mshamfanyia uchawi nyie manake mie tokea nione mara anakimbiliwa airport mara anasainia watu autograph (licha ya kwamba bongo hatuna mambo hayo ya saini) nikajua hapo waswahili mtamchota viganja vyake... heri tu kavunjika mdomo manake ingekuwa mengine ndo maana tunakimbilia insurance.

    lakini pole labda ka michuzi atatuwekea picha yake na HOGO la uso.

    Poleni sana familia nzima ya thabit

    ReplyDelete
  9. NASAHIHISHA HASHEEM THABEET HAJAWAHI KUPATA POINT 4 NA SIX REBOUNDS TOKA SEASON IMEANZA BAADA YA PRE SEASON KILA GAME KAMA AMEPATA POINT NYINGI NI 2 NA REBOUNDS 4 AMA 2 KUNA GAME KAPATA KILA KITU POINT REBOUND ASSIST FREE THROWS 0. SASA SIJUI HIZI DATA MNAZITOA WAPI. NI MAPEMA KUTABIRI KAMA ATAKUWA MCHEZAJI MZURI AMA MBOVU HII NI SEASON YAKE YA KWANZA. MKITAKA MATOKEO YA KILA GAME NITAWAPA NA SIKU ALIPO UMIA ALIKUWA NDIYO KWANZA KAINGIA NA ALICHEZA MINUTE 1 NA KUWA NA REBOUND 1 AMA MBILI TU NO POINT.

    ReplyDelete
  10. wewe Anon wa Thu Nov 12, 02:39:00 AM unasema hakuna wa kulaumiwa kwani ilikuwa ajali, mara apo apo inamlaumu Hasheem ama kweli Ki-inglishi kinatukoroga sana wabongo

    ReplyDelete
  11. ANON WA 0842,UNADAI UNASAHIHISHA...LAKINI KABLA YA KUSAHIHISHA HAKIKISHA UMELIONA KOSA NANUKUU"HE HAD SCORED 4PTS AND GRABBED 6REBS AND ALSO RECORDED 6 BLKS" KWA TAARIFA YAKO SIO IN HIS SIXTH GAME,NI IN HIS PREVIOUS SIX GAMES, NA HII HABARI IMETOKA NBA.COM KAMA UNATAKA KUJUA DATA ZIMETOKA WAPI,HUNA HAJA YA KUMPA MTU MATOKEO KWANI HATA UKIWA TZ KUNA NBA.COM ETC

    ReplyDelete
  12. hasheem never had 4 points or 6 rebounds and to prove this just go to www.nba.com and click players and pick Thabeet Hasheem you will be able to see all his games minutes played, rebounds, assists, turn over,points, fauls, and turn over per each game he played plus average. So this a hoax that he had 4 points and or 6 rebounds.

    ReplyDelete
  13. WASWAHILI WANASEMA KUNA MKONO WA MTU HAPO, MAMA BONGO NENDA BAGAMOYO, TANGA NA SUMBAWANGA KAMAMZINDIKE MWANA, ETI ANAWAKILISHA TANZANIA! ANAJIWAKILISHA MWENYEWE NA FAMILIA YAKE, AU SI HIVYO?

    ReplyDelete
  14. kaka HT, nakutakia kupona mapema,Mungu awe nawe kaka.

    KWA MDAU WA "Tarehe Thu Nov 12, 08:42:00 AM, Mtoa Maoni: Anonymous NANIHII",
    CLICK ON http://www.nba.com/2009/news/11/10/thabeet.jaw.ap/index.html Jisahihishe wewe kwanza unayedhani unahakika na ukisemacho. Watake radhi tafadhali!!

    ReplyDelete
  15. SAWA NIMESOMA MAONI YOTE..HILA NAOMBA KUJUA JE TIME YAKE HASHEEM IMELOGWA HAMA..KAMA IGEKUWA NI LIGI KUU BONGO NINGEIITA RIPULI..MAANA WAMECHEZA MECHI KAMA 8 KATI YA HIZO 8 WAMESHINDA 1 TUU NA KUFUNGWA 7..ADI IVERSON KAWAKIMBIA MAANA KAONA MZUKA.KAMA KUNAUWEZEKANO HASHEEM NA WEWE WAKIMBIE HAHAHAH.

    ReplyDelete
  16. anon 01/01 inaonyesha ni mgumu sana kuelewa,soma kwa makini hio habari,inasema amepata hizo points in his PREVIOUS SIX GAMES,sio single game,ur right hajawahi kufunga zaidi ya 2pts,wala grabbing more than 4rbs,but total pts,rbs,blks ndio hizo in six games alizocheza,take a lil'bit time and read carefully

    ReplyDelete
  17. Wabongo kwa kupenda uchawi. Eti wameloga! Khaa!

    ReplyDelete
  18. ALLAN MAKWAIANovember 13, 2009

    This comment has been removed by a blog administrator.

    ReplyDelete
  19. UR BOY NYIE WABONGO NDO SHIDA YENU KAZI MAJUNGU TU ALLDAY EVERYDAY NYIE MMEFANYA NN KATIKA MAISHA YENU THUS FAR NOT A DAMN THING INSTEAD YAKUSUPPORT THE ONLY STAR U HAVE IN THE NBA FROM UR THIRD WORLD COUTRY U START GOSSIPIN N SHIT I DONT EVEN KNOW HT PERSONALY BUT BUT JUST CUZ HE FROM WHERE IM FROM HE GOT MY SUPPORT U HATING ON A NIGGA DOESNT ERASE THE FACT DAT HE IN THE NBA MAKING MILLS HOW ABOUT U MAN LIE WOMEN LIE # DONT IM TALKING BOUT CASH U SUCKERS IM OUT THIS BITCH

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...