Miss Universe TZ 2009 Illuminata James akiondoka Dar leo

Miss Universe Tanzania Illuminata James akiwa uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Mwalimu JK Nyerere ambaye ameondoka leo kuelekea nchini China katika mashindano ya MISS INTERNATIONAL 2009. Fainali ya mashindano yatafanyika Novemba 28, mjini Chengdu .

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 13 mpaka sasa

  1. Atahitaji mablanketi mawili kwenye ndege!

    ReplyDelete
  2. Habari kaka Michuzi na pia pole kwa majukumu.Mbona hii habari haijakamilika?,manake umesema tu kuwa ni mshindi wa Miss Universe,je anaitwa nani?.
    Mdau-India.

    ReplyDelete
  3. mamiss ni wengi sana bongo kiasi hatukumbuki tena...je unaweza kuandika majina yao ukitoa habari kama hii....anaitwa nani???
    mdau money uk.

    ReplyDelete
  4. wish you the best miss tanzania...I am sure you will do well...best of luck

    ReplyDelete
  5. Niite mshamba au mbustani huwa sielewi tofauti ya Miss Universe na Miss World.Wanatumia vigezo kutofautisha hizi categories.I mean,Mshiriki wa Miss Universe anapatikanaje na Miss world anapatikanaje vile vile?

    ReplyDelete
  6. huyu ndiye miss Tanzania wetu 2009 anenda south africa kwa ajili ya miss world. sori

    ReplyDelete
  7. dada zamia china kunalipa kweli siku hizi huko.

    na wewe unayeuliza nini tofauti haya ni mashindano sawa tu kama vile dar kulivyo na miss utakii, miss vodacom you name it...

    kigezo cha kuchagua miss universe = brain na miss world = trump...LOL

    ReplyDelete
  8. Du mbona kabeba masanduku ya kariakoo jamani mtu anawakilisha Taifa inabidi awe presentable siyo sura tu bali hata vitu vyake vinabidi viwe vyenye majina.... siyo mambo ya kupitia mtaa wa kongo..
    Lakini my wish i still there all the best baby!

    Mdau wa Kanyigo

    ReplyDelete
  9. mshaambiwa msikurupuke kutoa comment kwanza kabla hujaisoma ishu husika mnuliza anaitwa nani wakati imeandikwa illuminata james sasa mnataka jina gani ndo mana watu wengine wanfaeli mitihani kijinga wakati ungeelewa swali ungepata jibu kaazi kweli kweli

    ReplyDelete
  10. Yaani Anony hapo juu umenikuna basi hata kama suitcase za kariakoo basi match with beauty case dah!umeniangusha Miss Uni na hilo back pack la nini tena?unaenda shule?

    ReplyDelete
  11. anony 2;32 wewe ndio unakurupuka hata mimi nilisoma awali hilo jina lilikua halipo. najua limeongezwa baada ya watu kuulizia. So don't think you are smarter than bunuachi....wewe ndio utafeli kwa vile you always come late

    ReplyDelete
  12. hahahhaahhaaa.... nyie mnaobishana nani angefeli mnaniacha hoi kwa kucheka!!!kila mmoja anapointi,kazi kweli2!

    ReplyDelete
  13. Jamani hopefula atakua amejifunza somo kutoka miss Universe, sio kila siku bahati mbaya!.. pale Miss Universe alikosea swimsuit na miguu, itabidi apige gym huko aendako... la sivyo tutapata "bahati mbaya" tena..
    Illuminata; you r pretty gal lakini embu muige Flaviana kidogo!.. angalia akivaa swimwear, hata tumbo habani, lipo tu flat... mambo ya jim hayo..lol

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...