JK akiwa katika picha ya pamoja na viongozi wa wanafunzi wanaosoma katika vyuo mbalimbali nchini Misri baada ya kukutana na kuzungumza nao mjinji Cairo,Misri jana jioni.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. Inaelekea Kikwete akiwa USA ndio anakuwa bize sana hadi anashindwa kuongea na waTanzania au?

    ReplyDelete
  2. wanawake wako wapi?au uko misri wanafunzi wabongo ni wanaume tu.au sheria za kiarabu wanawake hawakutakiwa kuingia hapo au kupigwa picha!!!

    najiuliza tuuu

    ReplyDelete
  3. Ndugu yangu wanfunzi hao wengi ni Mapadre wa Kitanzania ambao wajifunza tamaduni za Kiarabu, mafundisho ya kiislam kwa ajili ya kuwa walimu katika seminari mbali mbali duniani na hapa Tanzania. Huu ni utamaduni wa muda mrefu wa kupeleka Mpadre Misri kwa ajili ya kupiga kitabu maika mitatu na Baadae kurudi Roma kupiga msasa kabla ya kurudi nchini. Hivyo inawezekana wanfunzi hao ndo maana ukuona wakina Mama wengi, na zaidi Misri ni Nchi inayoendeleza ubaguzi sana wa watu wenye Ngozi kama ya Michuzi (weusi) na mbaya zaidi kwa wakina Mama

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...