Home
Unlabelled
JUMUIYA YA WATANZANIA NCHINI UHOLANZI YAPATA UONGOZI MPYA
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
nakuona mkora ( upo juu)
ReplyDeleteda long time ndugu yangu
safi sana.
Mdau 74 Southey Rd,Seven Sisters.
Mimiii? au wewe???? Mkuu mkuu wa zamani mkuu mkuu baba naona unawaka kama mashine KEREGETE-Mkora jitahidi....
ReplyDeleteMkora naona pozi zako,bado haujaacha tu makeke yako!unanikumbusha enzi zile tunaishi Ghetto Seven sisters London miaka ya 90's,inamaana sasa hivi umerudi CCM?maana wewe ni NCCR MAGEUZI.Poa,ni mimi mzee mwenzio Mugishagwe.
ReplyDeleteJamani asanteni sana . Mimi siwezi kuingia CCM hata kwa kufa mtu . Mimi ni mjanja tangia zamani so CCM hapana ila umoja huu ni wa Watanzania wote bila ya kujali vyama na imani zao za dini. Watanzania nje lazima kuibeba Tanzania kwa nguvu zote na matatizo yetu ya ndani kama watanzania tunayasemea ndani ili kuwekana sawa. Kwa hiyo pale penye nia ya umoja kama watanzania nitapatikana na pale penye siasa za Vyama na hasa CCM mie hutaniona hata nakuja kusikiliza . CCM ina wenyewe na wapo mimi ni kijana na sina nafasi kwa CCM .
ReplyDeleteYes nakumbuka Southey RD , nina wakumbuka wote nyie watu wangu .
Mimiiiiiiiii ama wewe ? hahahaha hamjatulia nyie washikaji . Mungu ibariki Tanzania
sasa hao viongozi hawana majina?
ReplyDeleteAnyway hongereni!
Dr. Mrema!!!
ReplyDeleteSafi sana kaka, nikutakie kila la kheri katika uongozi. Iwakilishe vyema inji yetu changa huko ughaibuni
NAWAONA HAPO WASHKAJI BABA ZITHA NA KWEBA HONGERENI SANA MAMBO SI MABAYA NAWATAKIA KILA KHERI NA MUNGU AWAONGOZE, MAMA ALLY
ReplyDeleteOya vijana wa Musoma Bulemo na Chirangi nawaona. Safi sana siyo kuanzisha vyama vya siasa huko nje bali vya Watanzania wote! Hongereni sana.
ReplyDeleteMZIKI HUO KWA WANANGU MLIOJIPA KILUNDI.
ReplyDeleteMDAU MONEY UK.