Pichani ni uongozi mpya wa Jumuiya ya Watanzania nchini Uholanzi wakiwa katika picha ya pamoja na Balozi wa Tanzania katika nchi za Belgium, Netherlands na Luxemburg (BENELUX) Mheshimiwa Simon Mlay katika uchaguzi uliofanyika jana tarehe 14/11/2009 katika ukumbi wa ISS Jijini The Hegue. Picha na Mdau Hamisi Kandege wa Uholanzi.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 9 mpaka sasa

  1. Mzee MwenzioNovember 15, 2009

    nakuona mkora ( upo juu)
    da long time ndugu yangu
    safi sana.
    Mdau 74 Southey Rd,Seven Sisters.

    ReplyDelete
  2. Mimiii? au wewe???? Mkuu mkuu wa zamani mkuu mkuu baba naona unawaka kama mashine KEREGETE-Mkora jitahidi....

    ReplyDelete
  3. Mkora naona pozi zako,bado haujaacha tu makeke yako!unanikumbusha enzi zile tunaishi Ghetto Seven sisters London miaka ya 90's,inamaana sasa hivi umerudi CCM?maana wewe ni NCCR MAGEUZI.Poa,ni mimi mzee mwenzio Mugishagwe.

    ReplyDelete
  4. Jamani asanteni sana . Mimi siwezi kuingia CCM hata kwa kufa mtu . Mimi ni mjanja tangia zamani so CCM hapana ila umoja huu ni wa Watanzania wote bila ya kujali vyama na imani zao za dini. Watanzania nje lazima kuibeba Tanzania kwa nguvu zote na matatizo yetu ya ndani kama watanzania tunayasemea ndani ili kuwekana sawa. Kwa hiyo pale penye nia ya umoja kama watanzania nitapatikana na pale penye siasa za Vyama na hasa CCM mie hutaniona hata nakuja kusikiliza . CCM ina wenyewe na wapo mimi ni kijana na sina nafasi kwa CCM .

    Yes nakumbuka Southey RD , nina wakumbuka wote nyie watu wangu .

    Mimiiiiiiiii ama wewe ? hahahaha hamjatulia nyie washikaji . Mungu ibariki Tanzania

    ReplyDelete
  5. sasa hao viongozi hawana majina?
    Anyway hongereni!

    ReplyDelete
  6. Dr. Mrema!!!

    Safi sana kaka, nikutakie kila la kheri katika uongozi. Iwakilishe vyema inji yetu changa huko ughaibuni

    ReplyDelete
  7. NAWAONA HAPO WASHKAJI BABA ZITHA NA KWEBA HONGERENI SANA MAMBO SI MABAYA NAWATAKIA KILA KHERI NA MUNGU AWAONGOZE, MAMA ALLY

    ReplyDelete
  8. Oya vijana wa Musoma Bulemo na Chirangi nawaona. Safi sana siyo kuanzisha vyama vya siasa huko nje bali vya Watanzania wote! Hongereni sana.

    ReplyDelete
  9. MZIKI HUO KWA WANANGU MLIOJIPA KILUNDI.
    MDAU MONEY UK.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...