Home
Unlabelled
mafuriko morogoro
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
huyo dereva au mkuu wa mkoa sidhani kama angepita through hilo dimbwi kama gari ingekuwa yake binafsi
ReplyDeleteHao hawajipendi hayo maji yanaonekana madogo lakini hayakawii kulichukua hilo gari....
ReplyDeleteDereva achunguzwe kama ana akili timamu....pia duka la madawa hilo nafikiri halina cha ajabu kwani ni la kiwango cha kijiji cha Mapangano
ReplyDeletesasa nimejua kwanini wananunua 4WD, hii picha wangeiweka kwenye magazeti afu wakaitumia kujidefend kwa wananchi sababu ya mashangingi, kudadadeki huyu dereve anatakiwa afungwe maisha huwezi kutumbukiza dola laki moja kwenye maji kisa sio zako.
ReplyDeleteHuyo dereva ana matatizo ya problem, gari cruiser yenye mkonga ndio unaweza ukaipitisha ktk kina kirefu cha maji hata kioo kikazibwa, lakini hilo halina mkonga ukifatilia utakuta liko gereji limeshakunywa maji gari ya million 240 kwa uzembe apimwe akili.
ReplyDeleteNAWAOMBA WANANCHI WAWE WAVUMILIVU. HAYA MAJI TUNAYAHITAJI SANA KUENDESHEA MABWAWA YA KUZALISHA UMEME. TUMECHOKA MGAO WA UMEME. KWA UKWELI KABISA NAPENDA INYESHE ZAIDI YA HAPO.
ReplyDeleteOYAAAAAA TFDA MPO WAPI.....
ReplyDeletetatizo siyo dereva yeye si anaambiwa tu na boss wake, unataka apingwe chini vilevile roho haiumi hiyo gari si ya jamhuri likiharibika si litatengenenzwa au kupewa jipya hela ipo
ReplyDelete