Kaka, Nilikuwa kajivekesheni kafupi maeneo ya Mwasonga Kibada, Katika kukuunga mkono kuendleeza utalii wa ndani.. Nimevutiwa na Hili jina la hii shule... iko mbele kidogo ya Dar es salaam zoo...nimesikia jina alilitoa mwenyekiti wa kijiji..
Mdau Fredwash

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 19 mpaka sasa

  1. ...rafiki yangu mmoja, akiitwa Makaratasikuhangaika, alikuwa na mtoto akiitwa Sikujuakamayotehayayangetuka. Inawezekana kabisa pia akawa alisoma shule hiyohiyo.

    ReplyDelete
  2. nice swahili name...

    ReplyDelete
  3. mimi nilisoma na msichana akiitwa Nipatewapi Elimupesa

    ReplyDelete
  4. Sat Nov 14, 02:31:00 PM Makaratasikuhangaika, Sikujuakamayotehayayangetuka umenifurahisha sana

    ReplyDelete
  5. Hata na sisi wandengereko tumajivunia majina yetu haya ya kitanzania. Nyie wengine shauri yenu na majina yenu ya kikoloni. Mbona hamsahngai mkiona mzungu anaitwa bush/kichaka, bright/mwangaza, white/nyeupe, black/nyeusi, green/kijani, virgin/bikira, n.k. Sisi wazaramu na wandengereko yetu ndio hayo; sikujua, hatanawe, sihaba, kisagani, niwapeje, chausiku, cheusi. Na wala hatuna mpango wa kuiga mijina ya kikoloni.

    Usinifuatefuate, Mwanambaya, Pwani

    ReplyDelete
  6. msishangae majina yote hayo na SHUKURU lipo mtu anatoa shukrani kupitia jina.

    ReplyDelete
  7. Majina ya Kizaramo sawa tu na ya Kiengereza Tiger kuna Chui Tabu Bahati chausiku Kipanya Mashavu Uengereza unakutana na Livingstone kina Armstrong kina Wood basi kazikwelikweli sasa Ukienda Mikoa ya Kati ukianza kina Mwaipopo Majina yetu lazima tuyapende jamani tujivunie ila tuwache kuita Watoto Tabu tu na Shida. tuwabadilishe kwa majina Raha au Bahati au Zawadi si Gift. Na Mie Comment Yangu kweli Nilitakak uweka Niliweka kwengine Jamaa wangu wa PWani japo mie si Mzaramo nakuunga Mkono.

    ReplyDelete
  8. Unajuwa nimekuja Kustukia Kumbe majina Mengi Sehemu za Oysterbay Yanatoka Kijiji kimoja Mkoa wa Pwani Kisarawe Chole Road, Ni Chole Ipo Kisarawe Masaki, Kuna MAsaki Nyengine Kisarawe pia Mwananyamala haya Yote majina ya Kizaramo.

    ReplyDelete
  9. Mbona hamshangai majina ya wakoloni
    Dick Bender (Sports person), Dick Finder ( Urologist), Dick Hyman (Famous jazz musician), Dick Pole (Major league baseball player), Harry Pump, Art Painter, Hammer, Dee Major, Carpenter, Lay, Hooker, Bud Wieser, Cara Sterio, Chris Cross, Moorehead au kwa vile haya ni ya kimatumbi?

    The art of language

    ReplyDelete
  10. mtiririko wa majina ya kizaramo:
    vingawaje,mkejina,zarau,yangumacho,avinimbi,sivijui,mwashukuru,mbegu,mwakondo,sikudhani,kautipe,bintishovi,magubika,talaka,mavumba,mwanauli......mengi jamani loo.

    ReplyDelete
  11. yote ni majina ila ya kijapani ni kiboko yao. naogopa michuzi asije tia ujumbe wangu kapuni.

    ReplyDelete
  12. Sasa Huyu ya Ki Japan anaenda mbali haha tunaongelea majina ambayo Hata kwa wenzetu wanayaelewa kwamba Hammer Kwao ni Nyundo Dick Bender = ?. Gay Lord = ? sasa huko Japan Hayana maana mbaya kwao ni Maana mbaya Kwetu kina Inamoto au Kumamoto.

    ReplyDelete
  13. Duuh unanikumbusha Majina ya Marehemu Mhe. Kapt (Mstaafu)Kaka Ditto (RIP).
    Wazaramo majina yao yanahifadhi kumbukumbu ya matukio muhimu. Myaone, siyawezi, Jaribu mpakani,nk
    Majina ya asili sasa hivi yanapotea. Big up wazaramo

    ReplyDelete
  14. Nini wazalamo!!!!Kuna mjapani mmoja alinifundisha HTML alikuwa anaitwa SHIKACHINI KAZASANA.

    ReplyDelete
  15. sijawai cheka ivi....

    dah kwakweli

    ReplyDelete
  16. Msaada tutani...hivi bango limesema Shule ya M....e au Shule ya Msingi...?,Look Closely @ the I's,ni hayo tu!

    ReplyDelete
  17. Halafu hats majina ya wanyama kupewa watu IPO kila taiga. Kwa Wazaramo kuna Simba kwa waarabu kuna Asad. Nisaidieni kwingine.

    ReplyDelete
  18. Mzee Bewa yani mzee panya. Mr. Rat

    ReplyDelete
  19. Hii mayo ni ya kizaramo. Kuma misitu

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...