Home
Unlabelled
Majina halisi ya kizaramo
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
...rafiki yangu mmoja, akiitwa Makaratasikuhangaika, alikuwa na mtoto akiitwa Sikujuakamayotehayayangetuka. Inawezekana kabisa pia akawa alisoma shule hiyohiyo.
ReplyDeletenice swahili name...
ReplyDeletemimi nilisoma na msichana akiitwa Nipatewapi Elimupesa
ReplyDeleteSat Nov 14, 02:31:00 PM Makaratasikuhangaika, Sikujuakamayotehayayangetuka umenifurahisha sana
ReplyDeleteHata na sisi wandengereko tumajivunia majina yetu haya ya kitanzania. Nyie wengine shauri yenu na majina yenu ya kikoloni. Mbona hamsahngai mkiona mzungu anaitwa bush/kichaka, bright/mwangaza, white/nyeupe, black/nyeusi, green/kijani, virgin/bikira, n.k. Sisi wazaramu na wandengereko yetu ndio hayo; sikujua, hatanawe, sihaba, kisagani, niwapeje, chausiku, cheusi. Na wala hatuna mpango wa kuiga mijina ya kikoloni.
ReplyDeleteUsinifuatefuate, Mwanambaya, Pwani
msishangae majina yote hayo na SHUKURU lipo mtu anatoa shukrani kupitia jina.
ReplyDeleteMajina ya Kizaramo sawa tu na ya Kiengereza Tiger kuna Chui Tabu Bahati chausiku Kipanya Mashavu Uengereza unakutana na Livingstone kina Armstrong kina Wood basi kazikwelikweli sasa Ukienda Mikoa ya Kati ukianza kina Mwaipopo Majina yetu lazima tuyapende jamani tujivunie ila tuwache kuita Watoto Tabu tu na Shida. tuwabadilishe kwa majina Raha au Bahati au Zawadi si Gift. Na Mie Comment Yangu kweli Nilitakak uweka Niliweka kwengine Jamaa wangu wa PWani japo mie si Mzaramo nakuunga Mkono.
ReplyDeleteUnajuwa nimekuja Kustukia Kumbe majina Mengi Sehemu za Oysterbay Yanatoka Kijiji kimoja Mkoa wa Pwani Kisarawe Chole Road, Ni Chole Ipo Kisarawe Masaki, Kuna MAsaki Nyengine Kisarawe pia Mwananyamala haya Yote majina ya Kizaramo.
ReplyDeleteMbona hamshangai majina ya wakoloni
ReplyDeleteDick Bender (Sports person), Dick Finder ( Urologist), Dick Hyman (Famous jazz musician), Dick Pole (Major league baseball player), Harry Pump, Art Painter, Hammer, Dee Major, Carpenter, Lay, Hooker, Bud Wieser, Cara Sterio, Chris Cross, Moorehead au kwa vile haya ni ya kimatumbi?
The art of language
mtiririko wa majina ya kizaramo:
ReplyDeletevingawaje,mkejina,zarau,yangumacho,avinimbi,sivijui,mwashukuru,mbegu,mwakondo,sikudhani,kautipe,bintishovi,magubika,talaka,mavumba,mwanauli......mengi jamani loo.
yote ni majina ila ya kijapani ni kiboko yao. naogopa michuzi asije tia ujumbe wangu kapuni.
ReplyDeleteSasa Huyu ya Ki Japan anaenda mbali haha tunaongelea majina ambayo Hata kwa wenzetu wanayaelewa kwamba Hammer Kwao ni Nyundo Dick Bender = ?. Gay Lord = ? sasa huko Japan Hayana maana mbaya kwao ni Maana mbaya Kwetu kina Inamoto au Kumamoto.
ReplyDeleteDuuh unanikumbusha Majina ya Marehemu Mhe. Kapt (Mstaafu)Kaka Ditto (RIP).
ReplyDeleteWazaramo majina yao yanahifadhi kumbukumbu ya matukio muhimu. Myaone, siyawezi, Jaribu mpakani,nk
Majina ya asili sasa hivi yanapotea. Big up wazaramo
Nini wazalamo!!!!Kuna mjapani mmoja alinifundisha HTML alikuwa anaitwa SHIKACHINI KAZASANA.
ReplyDeletesijawai cheka ivi....
ReplyDeletedah kwakweli
Msaada tutani...hivi bango limesema Shule ya M....e au Shule ya Msingi...?,Look Closely @ the I's,ni hayo tu!
ReplyDeleteHalafu hats majina ya wanyama kupewa watu IPO kila taiga. Kwa Wazaramo kuna Simba kwa waarabu kuna Asad. Nisaidieni kwingine.
ReplyDeleteMzee Bewa yani mzee panya. Mr. Rat
ReplyDeleteHii mayo ni ya kizaramo. Kuma misitu
ReplyDelete