.jpg)
.jpg)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
What is Eliza wearing? winter socks or? Didn't know it was winter in dar!!!!!!!
ReplyDeleteMBONA HAPA SIJAMUONA MTUME NABII AU ALISHALUDI MALEKANI KWA MZEE OBAMA. MINUSO KAMA HII UNAMUONAGA NA KASUTI KAKE AMETULIA NA KA MADAM RITA WA BSS. MTUME NABII NI MTU MAKINI SANA, NA MITOTOZ INAMPENDAGA SANA KWA KILE KIINGLISHI CHAKE CHA MUZUMBE CHUO KIKUU CH AUNIVESITY. ASANTE SANA MKUU, KALIBU SANA
ReplyDeleteAhaaa!!!!! Hii kali ya leo. Leg warmers za nini Tanzania????Kwanza bongona joto lote lile.....Oh my...sina mbavu ....duh
ReplyDeletemhh eliza kavaa nini sasa?
ReplyDeleteThe girl is wearing stockings in Bongo, terrible pamba lol.
ReplyDeleteJamani ninachoona hapo ni warmers au naota! Winter in TZ??? Hebu tuvae kufuatana na hali ya hewa, please!
ReplyDeleteacheni ushambenga hii ni fashion sasa kama scarf zinazovaliwa
ReplyDeletezidisheni starehe na fimbo iko karibu...haya ndio tunayaweza wabongo..starehe kwa wingi utendaji kazi mdogo. mpaka kifo cha mwalimu nyerere tunasherekea...
ReplyDeletealuuu!! mambo ya fasheni
ReplyDeleteJamani kuvaa ni sanaa na sanaa hiyo yahitaji kipaji!
ReplyDeleteIVI NANIALIE KUDANGANYA UKAVAA AYO MADUDE NGUUNI????YANI AMEKUDANGANYA !!!!! TENA UCRUDIE TENA NI USHAMBA MDOGO WANGU WENZIO AYO TUNAYA VAAGA WAKATI WABARIDI TU KWANZA WATU AWAYAPENDAGI WANAVAAGA KWA AJILI NI BARIDI SANA.VINGINE VYOTE UMEPENDEZA
ReplyDeletewote mlioandika hivi ni wapumbavu tu kawaida wabongo huwa hawashindwi na la kusema siku zote.yaaani usimuone mwenzenu kavaaa basi tayari munamuandama.tushajua nyote muko mamtoni na mnavaa pamba za kumwaga.muacheni mwenzenu ajikune alipopapata hamuwez kujua kwanini aliamua kuvaa hivyo.Duh kweli sisi wabongo hatutoendelea milele kwa ujinga wetu wa kujifanya tunajua mambo mengi.wakati wengine hapo hamna lolote.mpeni moyo mwenzenu hata kama amekosea tumia kauli nzuri ya kumuelewesha.sio kumkashif
ReplyDeletembona wabongo wanavaa mafitenge na makofia makubwa vichwani kwani tofauti ni nini? wivu
ReplyDeleteHIZI NI SPECIAL FASION KAZI YEKE NI KUVICHA NGOKO. KWA WALE WASIOKUA NA MIGUU YA BIA KWA HIYO. ZIMEKUA FASION KWA KUFICHA NGOKO ZAKO. KWA TARIFA YENU
ReplyDeleteNyie wote mnaomtetea Elizabeth na uvaaji wake mnashangaza sana, tunajua kabisa kuna fasion nyingi sasa hivi, kama boots na scarfs, na zinavaliwa kila mahali lakini si kweli mnaodai eti ni fasion, fasion zinaenda na weather, season na ocassion sio kujivalia tu, ndio tuko majuu na tunajua fashion, huwezi kuvaa leg warmers utegemee watu wakutetee eti ndio fasion, huku wakati wa summer scarf si fasion kabisa halafu watu hawavai vai hovyo boots na scarf wakati wa summer, ni aibu kuiga iga vitu halafu mtu unachemsha, your dress code Elizabeth is terrible my sister, si kila kitu cha kuiga,hivyo vyote mnavyovivaa bongo mnadai ni fasion vinavaliwa kama fasion huku lakini wakati wa baridi, summer ikifika kuna fasion zake pia, sio kujivalia tu, it's embarassing mnawapa wadogo zenu bad impression ya kujivalia hovyo halafu mnadai fasion, kwa kifupi Elizabeth amechemsha kishenzi too bad hao uliokuwa nao hawajakuambia lakini ni mchemsho wa ajabu, juzi Naomi Campbell alikuwa Dar kama mngekuwa na maswali ya design na fasion mngemuuliza sio kutiana aibu namna hiyo, halafu wengine bila aibu wanasema eti tumuache, lazima aambiwe ukweli ajirekebishe yeye na wasanii wengine wenye tabia ya kuvaa mascarf na boots dar kisa fasion ni aibu muache hiyo tabia hasa wasanii wetu, you need to change people. Ndio zinapendeza lakini zinasend a very wrong message na inaonyesha how ignorant people are, je ni bora kupendeza lakini uwe ignorant???-Mdau mdada Canada.
ReplyDeletemy whole heart is in jokate there! namzimikia sana huyo mtoto.
ReplyDeleteLazima tusema bwana hapo kwa leg warmers kachemsha hasa kwa hali ya hewa ya dar.Scarf inaweza kuwa nyepesi ila hzo leg warmers usiombee joto lake na wala sio fashion ni necessity ya winter hiyo watu tunapasuka miguu.
ReplyDeletekweli wabongo hatuta endelea kwa tabia hii jaman.. why not advice instead? lugha za kukashif za nini, pili unajua ukumbi walokuamo.. AC and all that.. au wivu tu. hao maonnoy wajuu obviously ni wanawakwe. hatupendani.. roho mbayaaaaa
ReplyDeleteJamani tuwe waangalifu wakati wa kuvaa nguo zetu hasa sisi wanawake, tukubali tusikubali Eliza kachemshaaaaa huwezi leg warmers wakati huu ni joto sana, sana, sana sasa hivi DSM ni joto sana. Watanzania tusipende kuiga iga tu mambo aibuuuu, Elizabeth kachemka nguo yake ni nzuri hizo warmers ni mchemshoo wa hali ya juu. Tuwe tunaangalia hali ya hewa, wakati je ni mchana au usiku na unaenda wapi kanisani, hospitalini, kazini, msikitini, shuleni, michezo, etc, etc kila sehemu ina vazi lake. Lazima tukubali kukosoana ili tusonge mbele katika kila jambo.
ReplyDeleteACHENI WIVU MADEM WA KWA MICHUZI,MMEONA KUVAA TU???HUYO DEM NI MKALI KUSHINDA HATA HAO MADEM ZENU WA BONGOFLVA.
ReplyDeleteMDAU MONEY UK.
Jamani muacheni Eliza wa wa2,wether she is wearing leg warmers,stockings,winter coat,winter scarfs its all up to her hajawavalisha nyinyi vipo mwilini kwake...who knows maybe she was cold tht night...the way weather affects u is upon u....muacheni kwa raha zake vaa mama vaa watu kamwe hawatoacha kusema.
ReplyDeletemdau mdada canada mwanzoni nilidhani umechapia neno fashion lakini hadi namaliza kusoma comment yako nakumbana na neno fasion mara kibao dada wa canada ni FASHION... FASHION.... FASHION...
ReplyDeleterichmond canada
Hahahaaaa,teh teh teh...sio wivu jaman Eliza amenifurahisha na kivazi chake cha miguun bongo joto jamani achani kuiga fashion,kachemsha sana...hata hao wanaovaa scarf shingoni wakiwa bongo ni ushamba na ubishoo usiona maana mavazi hayo ni ya baridi..hahahha...teh..teh..
ReplyDelete