Aliyekuwa mshiriki wa Big Brother Africa, Elizabeth Gupta akionyesha umahili wake wa kucheza muziki akiwa na Joketi katika ukumbi wa Club Bilicanas, Ijumaa usiku wakati wa hafla ya kumkaribisha iliyoandaliwa na Multchoice Tanzania.
Elizabeth akijimwayamwaya na wadau
Elizabeth akiwa na mbunifu wa mitindo Ally Rhemtullah
Miss TZ 2008 Nasreem Karim akiwa na Miss TZ namba 2 wa mwaka 1994 Lucy Kihwele na Joketi wakimwangalia Elizabeth akijiachia kwenye mnuso wake




Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 23 mpaka sasa

  1. What is Eliza wearing? winter socks or? Didn't know it was winter in dar!!!!!!!

    ReplyDelete
  2. PETER NALITOLELANovember 15, 2009

    MBONA HAPA SIJAMUONA MTUME NABII AU ALISHALUDI MALEKANI KWA MZEE OBAMA. MINUSO KAMA HII UNAMUONAGA NA KASUTI KAKE AMETULIA NA KA MADAM RITA WA BSS. MTUME NABII NI MTU MAKINI SANA, NA MITOTOZ INAMPENDAGA SANA KWA KILE KIINGLISHI CHAKE CHA MUZUMBE CHUO KIKUU CH AUNIVESITY. ASANTE SANA MKUU, KALIBU SANA

    ReplyDelete
  3. Ahaaa!!!!! Hii kali ya leo. Leg warmers za nini Tanzania????Kwanza bongona joto lote lile.....Oh my...sina mbavu ....duh

    ReplyDelete
  4. mhh eliza kavaa nini sasa?

    ReplyDelete
  5. The girl is wearing stockings in Bongo, terrible pamba lol.

    ReplyDelete
  6. Jamani ninachoona hapo ni warmers au naota! Winter in TZ??? Hebu tuvae kufuatana na hali ya hewa, please!

    ReplyDelete
  7. acheni ushambenga hii ni fashion sasa kama scarf zinazovaliwa

    ReplyDelete
  8. zidisheni starehe na fimbo iko karibu...haya ndio tunayaweza wabongo..starehe kwa wingi utendaji kazi mdogo. mpaka kifo cha mwalimu nyerere tunasherekea...

    ReplyDelete
  9. aluuu!! mambo ya fasheni

    ReplyDelete
  10. Jamani kuvaa ni sanaa na sanaa hiyo yahitaji kipaji!

    ReplyDelete
  11. IVI NANIALIE KUDANGANYA UKAVAA AYO MADUDE NGUUNI????YANI AMEKUDANGANYA !!!!! TENA UCRUDIE TENA NI USHAMBA MDOGO WANGU WENZIO AYO TUNAYA VAAGA WAKATI WABARIDI TU KWANZA WATU AWAYAPENDAGI WANAVAAGA KWA AJILI NI BARIDI SANA.VINGINE VYOTE UMEPENDEZA

    ReplyDelete
  12. wote mlioandika hivi ni wapumbavu tu kawaida wabongo huwa hawashindwi na la kusema siku zote.yaaani usimuone mwenzenu kavaaa basi tayari munamuandama.tushajua nyote muko mamtoni na mnavaa pamba za kumwaga.muacheni mwenzenu ajikune alipopapata hamuwez kujua kwanini aliamua kuvaa hivyo.Duh kweli sisi wabongo hatutoendelea milele kwa ujinga wetu wa kujifanya tunajua mambo mengi.wakati wengine hapo hamna lolote.mpeni moyo mwenzenu hata kama amekosea tumia kauli nzuri ya kumuelewesha.sio kumkashif

    ReplyDelete
  13. mbona wabongo wanavaa mafitenge na makofia makubwa vichwani kwani tofauti ni nini? wivu

    ReplyDelete
  14. HIZI NI SPECIAL FASION KAZI YEKE NI KUVICHA NGOKO. KWA WALE WASIOKUA NA MIGUU YA BIA KWA HIYO. ZIMEKUA FASION KWA KUFICHA NGOKO ZAKO. KWA TARIFA YENU

    ReplyDelete
  15. Nyie wote mnaomtetea Elizabeth na uvaaji wake mnashangaza sana, tunajua kabisa kuna fasion nyingi sasa hivi, kama boots na scarfs, na zinavaliwa kila mahali lakini si kweli mnaodai eti ni fasion, fasion zinaenda na weather, season na ocassion sio kujivalia tu, ndio tuko majuu na tunajua fashion, huwezi kuvaa leg warmers utegemee watu wakutetee eti ndio fasion, huku wakati wa summer scarf si fasion kabisa halafu watu hawavai vai hovyo boots na scarf wakati wa summer, ni aibu kuiga iga vitu halafu mtu unachemsha, your dress code Elizabeth is terrible my sister, si kila kitu cha kuiga,hivyo vyote mnavyovivaa bongo mnadai ni fasion vinavaliwa kama fasion huku lakini wakati wa baridi, summer ikifika kuna fasion zake pia, sio kujivalia tu, it's embarassing mnawapa wadogo zenu bad impression ya kujivalia hovyo halafu mnadai fasion, kwa kifupi Elizabeth amechemsha kishenzi too bad hao uliokuwa nao hawajakuambia lakini ni mchemsho wa ajabu, juzi Naomi Campbell alikuwa Dar kama mngekuwa na maswali ya design na fasion mngemuuliza sio kutiana aibu namna hiyo, halafu wengine bila aibu wanasema eti tumuache, lazima aambiwe ukweli ajirekebishe yeye na wasanii wengine wenye tabia ya kuvaa mascarf na boots dar kisa fasion ni aibu muache hiyo tabia hasa wasanii wetu, you need to change people. Ndio zinapendeza lakini zinasend a very wrong message na inaonyesha how ignorant people are, je ni bora kupendeza lakini uwe ignorant???-Mdau mdada Canada.

    ReplyDelete
  16. my whole heart is in jokate there! namzimikia sana huyo mtoto.

    ReplyDelete
  17. Lazima tusema bwana hapo kwa leg warmers kachemsha hasa kwa hali ya hewa ya dar.Scarf inaweza kuwa nyepesi ila hzo leg warmers usiombee joto lake na wala sio fashion ni necessity ya winter hiyo watu tunapasuka miguu.

    ReplyDelete
  18. kweli wabongo hatuta endelea kwa tabia hii jaman.. why not advice instead? lugha za kukashif za nini, pili unajua ukumbi walokuamo.. AC and all that.. au wivu tu. hao maonnoy wajuu obviously ni wanawakwe. hatupendani.. roho mbayaaaaa

    ReplyDelete
  19. Jamani tuwe waangalifu wakati wa kuvaa nguo zetu hasa sisi wanawake, tukubali tusikubali Eliza kachemshaaaaa huwezi leg warmers wakati huu ni joto sana, sana, sana sasa hivi DSM ni joto sana. Watanzania tusipende kuiga iga tu mambo aibuuuu, Elizabeth kachemka nguo yake ni nzuri hizo warmers ni mchemshoo wa hali ya juu. Tuwe tunaangalia hali ya hewa, wakati je ni mchana au usiku na unaenda wapi kanisani, hospitalini, kazini, msikitini, shuleni, michezo, etc, etc kila sehemu ina vazi lake. Lazima tukubali kukosoana ili tusonge mbele katika kila jambo.

    ReplyDelete
  20. ACHENI WIVU MADEM WA KWA MICHUZI,MMEONA KUVAA TU???HUYO DEM NI MKALI KUSHINDA HATA HAO MADEM ZENU WA BONGOFLVA.
    MDAU MONEY UK.

    ReplyDelete
  21. Jamani muacheni Eliza wa wa2,wether she is wearing leg warmers,stockings,winter coat,winter scarfs its all up to her hajawavalisha nyinyi vipo mwilini kwake...who knows maybe she was cold tht night...the way weather affects u is upon u....muacheni kwa raha zake vaa mama vaa watu kamwe hawatoacha kusema.

    ReplyDelete
  22. mdau mdada canada mwanzoni nilidhani umechapia neno fashion lakini hadi namaliza kusoma comment yako nakumbana na neno fasion mara kibao dada wa canada ni FASHION... FASHION.... FASHION...
    richmond canada

    ReplyDelete
  23. Hahahaaaa,teh teh teh...sio wivu jaman Eliza amenifurahisha na kivazi chake cha miguun bongo joto jamani achani kuiga fashion,kachemsha sana...hata hao wanaovaa scarf shingoni wakiwa bongo ni ushamba na ubishoo usiona maana mavazi hayo ni ya baridi..hahahha...teh..teh..

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...