RAMANI KWENYE BLOGU YAKO!
KWA WALE AMBAO TUMO KWENYE LIBENEKE LA BLOGU, MNAWEZA KUIFURAHIA HII FEATURE. UKIWEKA KITU KINACHOITWA clustrmap KWENYE BLOG YAKO UNAWEZA KUJUA WASOMAJI WA BLOGU YAKO WAKO WAPI KATIKA USO WA DUNIA.
KWA WALE AMBAO TUMO KWENYE LIBENEKE LA BLOGU, MNAWEZA KUIFURAHIA HII FEATURE. UKIWEKA KITU KINACHOITWA clustrmap KWENYE BLOG YAKO UNAWEZA KUJUA WASOMAJI WA BLOGU YAKO WAKO WAPI KATIKA USO WA DUNIA.
KWA UFUPI UNAWEKEWA KARAMANI KADOGO KWENYE BLOGU YAKO AMBAKO UKIKACLICK KANAKUONYESHA LOCATIONS ZA WASOMAJI WA BLOGU YAKO. NI FEATURE AMBAYO BINAFSI NAIPENDA SANA.
ILA INABIDI UWE MVUMILIVU KWANI HIYO RAMANI INAKUWA UPDATED KILA BAADA YA MASAA 24 TANGU ULIPOIBANDIKA KWENYE BLOG YAKO.
UKIITAKA HII, SOMA ZAIDI JINSI YA KUIPATA KWA KUBINYA HAPA AU ANDIKA
KWENYE ADDRESS BAR YA BROWSER YAKO.
MDAU WA JICHO LA KIONGOZI
MDAU WA JICHO LA KIONGOZI
hahaha M3Z thanks for your chee posting
ReplyDeleteAsante. Sasa nina swali moja, nimeona uvivu kuwauliza wenye hiyo website, sijisikii kuingea kudhungu sasa hivi. Hako karamani kataonekana kwa kila mtu au ni wewe tu mwenye website utaweza kuiona? Naomba msaada.
ReplyDeleteKa ramani kataonekana kwa kila mtu atakayefungua website.
ReplyDelete