Group A: South Africa, Mexico, Uruguay, France
Group B: Argentina, South Korea, Nigeria, Greece
Group C: England, USA, Algeria, Slovenia
Group D: Germany, Australia, Ghana, Serbia
Group E: Netherlands, Japan, Cameroon, Denmark
Group F: Italy, New Zealand, Paraguay, Slovakia
Group G: Brazil, North Korea, Ivory Cost, Portugal (kundi la kifo)
Group H: Spain, Honduras, Chile, Switzerland

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 9 mpaka sasa

  1. nawaonea huruma sana ivory coast kwani hapo nafasi moja ni ya brazil ina maana hizo nchi tatu zimebaki na nafasi moja tu

    ReplyDelete
  2. kundi A mnyera ni France. Pia nimeota usiku wa kuamkia leo kuwa Ghana na Nigeria zitaingia raundi ya pili.....

    msinimind jamani, ni ndoto yangu tu hiyo


    Nyokoinyo

    ReplyDelete
  3. I bet for Portugal

    ReplyDelete
  4. BRAZIL YAKO INAWEZA KUFUNGWA PIA NA IVORY COAST

    ReplyDelete
  5. LUSAJO KIBONDEDecember 05, 2009

    KUNDI LA KIFO......?
    UNAMAANISHA NINI KUSEMA KUNDI G NI KUNDI LA KIFO? AMA KWA SABABU NORTH KOREA WANAJALIBU KUTENGENEZA BOMU LA NYUKILIA? ELEZA VIZURI SIYO KUWEKA UTATA. KUTAKUWA NA ULINZI WA KUTOSHA TU SIZANI KAMA KUNA KUNDI LITAKUWA NA MAUAJI KWA MUTAZAMO WANGU WEWE MUDAWU ULIYE PAYUKA ETI KUNA KUNDI LA KIFO. THANK ME ALL OF US.

    ReplyDelete
  6. I think Group E: Netherlands, Japan, Cameroon, Denmark deserves to be the toughest grounp (kundi la kifo)

    ReplyDelete
  7. MCHEZO MPIRA UNACHEZWA UWANJANI NA MATOKEA AIDHA TIMU KUSHINDA, KUFUNGWA, AU KUTOKA SARE NA MATOKEA HUWAYANAJULIKANA SI TU DAKIKA YA TISINI BALI MWAMUZI ANAPOPULIZA FILIMBI YA MWISHO KUASHIRIA KUWA MCHEZO WA MPIRA WA UMEKWISHA. NA ZAIDI MATOKEO YA MPIRA MARA NYINGINE NI BAHATI TU.

    PIA NI MUHIMU KUELEWA MPIRA HAUTABIRIKI KIRAHISI KWANI HUWA UNADUNDA.

    KUTOKANA NA FILOSOFIA HII MIMI NASEMA TIMU YEYOTE INAWEZA KUSONGA MBELE.

    ReplyDelete
  8. MWITA CHACHADecember 05, 2009

    Lusajo wewe hapo juu acha kukurupuka box limekufanya uwe mgumu wa kusoma nini, wanamaanisha hilo kundi G litakuwa kundi gumu kulinganisha na makundi mengine nani kaongelea mabomu? pumzika ukabebe mabox mengine

    ReplyDelete
  9. i think, the most toughest one is group A. kwani timu kama uruguay, france and mexico ni timu ngumu ingawa katika mpira lolote linawezekana.

    tunaliita kundi la kifo kutokana na ugumu wake haswa majaaliwa ya timu zetu za kiafrika ku-survivor kwenye kundi hilo.

    nionavyo mimi timu kama south africa kuifunga ufaransa or mexico or uruguay ni bahati zaidi kuliko uwezo(determination).


    brazil inafungika and north korea or portugal si timu ambazo ni tishio to that extent.



    Mungu ibariki Afrika, ibariki Tanzania.

    mzee from uswazi

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...