Group A: South Africa, Mexico, Uruguay, France
Group B: Argentina, South Korea, Nigeria, Greece
Group C: England, USA, Algeria, Slovenia
Group D: Germany, Australia, Ghana, Serbia
Group E: Netherlands, Japan, Cameroon, Denmark
Group F: Italy, New Zealand, Paraguay, Slovakia
Group G: Brazil, North Korea, Ivory Cost, Portugal (kundi la kifo)
Group H: Spain, Honduras, Chile, Switzerland
nawaonea huruma sana ivory coast kwani hapo nafasi moja ni ya brazil ina maana hizo nchi tatu zimebaki na nafasi moja tu
ReplyDeletekundi A mnyera ni France. Pia nimeota usiku wa kuamkia leo kuwa Ghana na Nigeria zitaingia raundi ya pili.....
ReplyDeletemsinimind jamani, ni ndoto yangu tu hiyo
Nyokoinyo
I bet for Portugal
ReplyDeleteBRAZIL YAKO INAWEZA KUFUNGWA PIA NA IVORY COAST
ReplyDeleteKUNDI LA KIFO......?
ReplyDeleteUNAMAANISHA NINI KUSEMA KUNDI G NI KUNDI LA KIFO? AMA KWA SABABU NORTH KOREA WANAJALIBU KUTENGENEZA BOMU LA NYUKILIA? ELEZA VIZURI SIYO KUWEKA UTATA. KUTAKUWA NA ULINZI WA KUTOSHA TU SIZANI KAMA KUNA KUNDI LITAKUWA NA MAUAJI KWA MUTAZAMO WANGU WEWE MUDAWU ULIYE PAYUKA ETI KUNA KUNDI LA KIFO. THANK ME ALL OF US.
I think Group E: Netherlands, Japan, Cameroon, Denmark deserves to be the toughest grounp (kundi la kifo)
ReplyDeleteMCHEZO MPIRA UNACHEZWA UWANJANI NA MATOKEA AIDHA TIMU KUSHINDA, KUFUNGWA, AU KUTOKA SARE NA MATOKEA HUWAYANAJULIKANA SI TU DAKIKA YA TISINI BALI MWAMUZI ANAPOPULIZA FILIMBI YA MWISHO KUASHIRIA KUWA MCHEZO WA MPIRA WA UMEKWISHA. NA ZAIDI MATOKEO YA MPIRA MARA NYINGINE NI BAHATI TU.
ReplyDeletePIA NI MUHIMU KUELEWA MPIRA HAUTABIRIKI KIRAHISI KWANI HUWA UNADUNDA.
KUTOKANA NA FILOSOFIA HII MIMI NASEMA TIMU YEYOTE INAWEZA KUSONGA MBELE.
Lusajo wewe hapo juu acha kukurupuka box limekufanya uwe mgumu wa kusoma nini, wanamaanisha hilo kundi G litakuwa kundi gumu kulinganisha na makundi mengine nani kaongelea mabomu? pumzika ukabebe mabox mengine
ReplyDeletei think, the most toughest one is group A. kwani timu kama uruguay, france and mexico ni timu ngumu ingawa katika mpira lolote linawezekana.
ReplyDeletetunaliita kundi la kifo kutokana na ugumu wake haswa majaaliwa ya timu zetu za kiafrika ku-survivor kwenye kundi hilo.
nionavyo mimi timu kama south africa kuifunga ufaransa or mexico or uruguay ni bahati zaidi kuliko uwezo(determination).
brazil inafungika and north korea or portugal si timu ambazo ni tishio to that extent.
Mungu ibariki Afrika, ibariki Tanzania.
mzee from uswazi