KITA NGOMA NA BOMBASTIC MUSIK DJS:
DJ PRINZ FROM GHANA;
DJ TYRON FROM GERMANY;
DJ AMINU FROM TOGO
kutafuatiwa na utambulisho wa NYIMBO MOJA IITWAYO; ‚‘‘ TUPO FRESH`` AMBAYO IMEIMBWA NA GCM CREW ; NYIMBO HIYO IPO KATIKA ALBUM YA KUNDI HILO INAYOITWA ‚‘‘MACHACHE!!!‘‘ ALBUM AMBAYO IPO JIKONI CHINI YA PRODUCER D’MILLO AKISHIRIKIANA NA JOKIMAN WALIYOPO NCHINI UJERUMANI:
KARIBUNI WADAU WOOOOOOOOTE

Wapi: Kleinschönebuschalee 90
63741 Aschaffenburg (BBVGASTSTATE)
Germany
Lini 01.01 2010 +02.01.2010
Muda. 21:00 usiku
Kiingilio 5 EURO
Kinywaji 2 Euro

KAMA KAWAIDA KWA HABARI KAMILI WASILIANA NA
Mfundo Peter (A:K:A D’MILLO)
Cell +491733779720
Festnetz +4960216253026 hii napatikana sana mida ya usiku
Aschaffenburg
Germany

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...