Ndugu wadau, siyo Washngton DC pekee hata hapa Netherlands kitu kinashuka, hadi magari hayatembei tena. kazini watu huenda kwa mguu au kutokwenda kama unaishi mbali. Na hii ni leo ambapo hakieleweki kitu...
Tuombe uzima jamani Duu.
Na Mdau Uholanzi.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 11 mpaka sasa

  1. Hicho kiwinter kiduchu tu watu mnashindwa kwenda kazini, poleni sana.Inabidi wadachi hao waje wapate shule hapa Finland ambapo Kiwinter ni cha nguvu, lakini hakuna kinachosima, mabaiskeli, magari kama kawaida kwani nyenzo za kila aina zipo kukabiliana na winter kali.

    ReplyDelete
  2. hayo mambo yako miaka mingi tu sema kipindi cha mkupuo wenu wa kuj....a,na machafuko ya hali ya hewa ndio maana mlikuwa hamjaona maishikilimu kudondoka barabarani hadi unaambiwa magari hayatembei doooh! uzima upo usite hofu mdau waulize washikaji wa denish ndio wamezowea hali hiyo.

    ReplyDelete
  3. wewe unachekesha kweli,hiyo mbona cha mtoto tu,hebu njoo hapa siberia uone winter original ya hapa duniani,kitu kinashuka na wakati huo joto ni -ve50- -ve70c.na shughuli kama kawaida
    je ungekuwepo hapa si ungetangaza kiama cha dunia kabisa!hahaha

    ReplyDelete
  4. NAONA NI MUDA WA KURUDI MAKWETU JAMANI!! NINI KUNG'ANG'ANIA HUKO??

    ReplyDelete
  5. Karibuni west coast 'bay area" tunaota jua
    Mdau CA

    ReplyDelete
  6. hizi chumvi zingine jamani! au unawatisha watu tu?

    hiyo uholanzi gani unayosema/ mbona mimi leo nimetoka na kurudi salama. usafiri upo kama kawaida tu jamani!! ma-tram, metro na mabasi yote yanafanyakazi jamani.

    ReplyDelete
  7. ice cream za bure mungu anazigawa tu

    ReplyDelete
  8. Did anyone notice that this picture was taken in the year 2012????

    ReplyDelete
  9. amakweli kumbe ughaibuni wapo mbele kwa kila kitu,...wakatu sisi bongo tupo 2009 wao wapo 2012,...!!!!shabashiii....!!!kama kamera ya mdau inavyo onyesha hapo pembeni chini kushoto

    ReplyDelete
  10. 2012...asante

    ReplyDelete
  11. PANDENI BASKELI ZENU.
    MDAU UK.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...