Home
Unlabelled
kiwinta kimekolea netherlands
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Hicho kiwinter kiduchu tu watu mnashindwa kwenda kazini, poleni sana.Inabidi wadachi hao waje wapate shule hapa Finland ambapo Kiwinter ni cha nguvu, lakini hakuna kinachosima, mabaiskeli, magari kama kawaida kwani nyenzo za kila aina zipo kukabiliana na winter kali.
ReplyDeletehayo mambo yako miaka mingi tu sema kipindi cha mkupuo wenu wa kuj....a,na machafuko ya hali ya hewa ndio maana mlikuwa hamjaona maishikilimu kudondoka barabarani hadi unaambiwa magari hayatembei doooh! uzima upo usite hofu mdau waulize washikaji wa denish ndio wamezowea hali hiyo.
ReplyDeletewewe unachekesha kweli,hiyo mbona cha mtoto tu,hebu njoo hapa siberia uone winter original ya hapa duniani,kitu kinashuka na wakati huo joto ni -ve50- -ve70c.na shughuli kama kawaida
ReplyDeleteje ungekuwepo hapa si ungetangaza kiama cha dunia kabisa!hahaha
NAONA NI MUDA WA KURUDI MAKWETU JAMANI!! NINI KUNG'ANG'ANIA HUKO??
ReplyDeleteKaribuni west coast 'bay area" tunaota jua
ReplyDeleteMdau CA
hizi chumvi zingine jamani! au unawatisha watu tu?
ReplyDeletehiyo uholanzi gani unayosema/ mbona mimi leo nimetoka na kurudi salama. usafiri upo kama kawaida tu jamani!! ma-tram, metro na mabasi yote yanafanyakazi jamani.
ice cream za bure mungu anazigawa tu
ReplyDeleteDid anyone notice that this picture was taken in the year 2012????
ReplyDeleteamakweli kumbe ughaibuni wapo mbele kwa kila kitu,...wakatu sisi bongo tupo 2009 wao wapo 2012,...!!!!shabashiii....!!!kama kamera ya mdau inavyo onyesha hapo pembeni chini kushoto
ReplyDelete2012...asante
ReplyDeletePANDENI BASKELI ZENU.
ReplyDeleteMDAU UK.