MZEE STEPHEN AUSTIN NALITOLELA

Dakika, saa, siku na miezi imepita;
hatimaye miaka miwili imetimia tangu mpendwa wetu utotoke tarehe 6/12/2007.
Unakumbukwa na mkeo, wanao, wajukuu na vijukuu.
Ulikuwa kiongozi wetu, mwalimu wetu na mwanga wa maisha yetu, na siku zote tunakukumbuka. Tulikupenda lakini Mola alikupenda zaidi.
Tunakaa na kujifariji, kwa kuwa tunatumaini uko mahala pema zaidi.
Ustarehe katika amani mpendwa wetu
Mwalimu Stephen Austin Nalitolela.
-familia ya Nalitolela

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 5 mpaka sasa

  1. Shukrani kwa kuitundika habari hewani Anko.

    RIP Grandpa!

    ReplyDelete
  2. poleni wafiwa alale pema babayetu mpendwa.

    ReplyDelete
  3. Poleni sana wafiwa.

    Kazi ya Mungu haina makosa.

    ReplyDelete
  4. mzee nalitolela huyu ndo yule aliyewahi kufanya kazi cct? mzee wangu alifanya hapo

    ReplyDelete
  5. ahsanteni nyote. Ndio, marehemu babu alikuwa CCT

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...