KUMRADHI WASOMAJI WETU:
Tangu jana jioni, mtandao wenu wa www.globalpublisherstz.com haufunguki kutokana na kukumbwa na tatizo la kiufundi lililotokana na kile kilichoelezwa na host wetu 'overloading' na tatizo hilo wataalamu wetu wanalishughulikia. Tunawaomba radhi kwa usumbufu wowowte uliojitokeza na tunawaahidi kurekebisha hali hiyo mapema iwezekanavyo.
Asanteni kwa uvumilivu wenu.
WEB MASTER _GPL

GPL,
ReplyDeleteJuzi tuliona picha ya kufedhehesha ktk webusaiti ya globalpublisherstz.com nadhani ndiyo iliyosababisha kutembelewa sana na kuwa over-loaded.
Mdau
Ughaibuni.
Du! tena fanyeni muitengeneze! maana nilikuwa nahangaika kweli, nikidhani tatizo ni computer yangu! tafurahi mkirudi hewani.
ReplyDeletenana
mh asante kwa taarifa kwani tangu jn nimekuwa nikiifungua bila mafanikio,Anyway we hope itawork out soon kwani inatufanya tufeel tupo Tz.
ReplyDeletemdau Holland
Acheni hizo, Lipieni bili zenu mapema!!!! Overload? Msitake ncheke!
ReplyDeleteasante kaka michuzi kufuatilia ombi langu.
ReplyDeleteKokusima
Ni zaidi ya wiki sasa hampo active, semeni ukweli kama mmesha fungiwa
DeleteHebu ukweni wa kweli, ni zaidi ya wiki sasa hampo mtandaoni.
DeleteKama mme fungiwa si mseme tuu?