mdau mwanshamba msonda anafurahi baada ya kula nondozzz yake ya masters in international relations huko houston, texas. ndugu, jamaa na marafiki wanakupongeza. wanasubiri PhD sasa

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 4 mpaka sasa

  1. HONGERA SANA MADAM. NAWAPENDA SANA 'MADEMU WATAFUTAJI'-ELIMU, SIASA, BIASHARA, SANAA, MICHEZO, N.K. PHD IS NEXT!

    ReplyDelete
  2. Hongera Mwamso
    Tuko pamoja na nilikuwapo hadi kwenye dinner hm kwako
    You are such a wonderful lady na hongera kwa courage ya kumaliza skul
    Best wishes dear

    ReplyDelete
  3. Mzee Wa Zeze, San Diego, CADecember 06, 2009

    Toba jamani, huyu kimwana amejaaliwa elimu na sura vilevile(Reception). Hapa Mola ameumba, Wazazi wamelea na walimu wamefundisha ipasavyo, hongereni nyote.
    Mola akuepushe na pepo mbaya wa mafisadi, Eeemin!!!!!!!!

    ReplyDelete
  4. Many Congrats! u did it, urs family friend Z,T & T

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...