OCG kwa sasa yuko safarini kuja Tanzania kusalimia wazazi na pia kuitambulisha hii kazi hapa nyumbani hivi karibuni.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 10 mpaka sasa

  1. OCG ni moja ya wasanii wakongwe,si mpya kama ilivyoandikwa hapo juu..

    ReplyDelete
  2. Nyimbo iko poa sana mwanangu OCG.Misupu warushe na hawa machizi nyimbo hizi zao mbili ziko poa,sana sana hiyo ya pili.

    http://www.youtube.com/watch?v=pmWj2BLDDVo


    Mdau Sweden

    ReplyDelete
  3. Nice Job...Marko Challi kazi unayo......lol

    ReplyDelete
  4. huyo si yule aliyeimba aguelina tulimalize tatizo ft j.nature hii kitu imetulia na iko poa kabisa

    ReplyDelete
  5. Hii ngoma imetulia, luv it.

    ReplyDelete
  6. OCG aka John Mfinanga lol! bab'Kubwa mwana yaaaap video imetulia kichizi naona machizi wote ndani aya video, Kirita , Goshashy full ndani ya UfiNi......ahahhahhaa youR ndugu ndani ya Dallas Texas ....holla back!

    ReplyDelete
  7. OC,...you rock man. Hii ngoma ni soo arifu...talent unayo chalii'angu, hata billboards chart ngoma inaweza kimbiza mbaya! Masela kwenye shooting wametulia kinoma kina "Devon" na wengine......

    ReplyDelete
  8. Hapa naona Full Makamanda! ndani ya mjengo yes O.C kazi kubwa mwana

    ReplyDelete
  9. yap hao jamaa wako fit hiv ndio wale tuliosomanao kule kwenye mkoa wenye baridi kali?

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...