OCG kwa sasa yuko safarini kuja Tanzania kusalimia wazazi na pia kuitambulisha hii kazi hapa nyumbani hivi karibuni.
Home
Unlabelled
MSANII MPYA OCG AJA NA RAFIKI YANGU
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
OCG kwa sasa yuko safarini kuja Tanzania kusalimia wazazi na pia kuitambulisha hii kazi hapa nyumbani hivi karibuni.
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
OCG ni moja ya wasanii wakongwe,si mpya kama ilivyoandikwa hapo juu..
ReplyDeleteGOOD JOB.
ReplyDeleteNyimbo iko poa sana mwanangu OCG.Misupu warushe na hawa machizi nyimbo hizi zao mbili ziko poa,sana sana hiyo ya pili.
ReplyDeletehttp://www.youtube.com/watch?v=pmWj2BLDDVo
Mdau Sweden
Nice Job...Marko Challi kazi unayo......lol
ReplyDeletehuyo si yule aliyeimba aguelina tulimalize tatizo ft j.nature hii kitu imetulia na iko poa kabisa
ReplyDeleteHii ngoma imetulia, luv it.
ReplyDeleteOCG aka John Mfinanga lol! bab'Kubwa mwana yaaaap video imetulia kichizi naona machizi wote ndani aya video, Kirita , Goshashy full ndani ya UfiNi......ahahhahhaa youR ndugu ndani ya Dallas Texas ....holla back!
ReplyDeleteOC,...you rock man. Hii ngoma ni soo arifu...talent unayo chalii'angu, hata billboards chart ngoma inaweza kimbiza mbaya! Masela kwenye shooting wametulia kinoma kina "Devon" na wengine......
ReplyDeleteHapa naona Full Makamanda! ndani ya mjengo yes O.C kazi kubwa mwana
ReplyDeleteyap hao jamaa wako fit hiv ndio wale tuliosomanao kule kwenye mkoa wenye baridi kali?
ReplyDelete