Mdau Nishani Mlangwa katika tabasamu kubwa baada ya kula nondozzzz yake ya kwanza ya “Business Administration (Information Technology)” huko Pune India
Baadhi ya marafiki wa Nishani walioshiriki katika kumpongeza.

Nishani na baadhi ya marafiki zake waliojitokeza kumpongeza alipokula nondozz



Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 14 mpaka sasa

  1. Hongera sana Nishani, nakumbuka tumesoma wote primary.

    ReplyDelete
  2. Na hapa unapongezwa sana na mimi.

    (US Blogger)

    ReplyDelete
  3. MMMHHH!!!!
    SASA HAO WATOTO WA KIDOSI IMEKAAJE? MARAFIKI KWELI AU JAMAA NDO BABA MLEZI?
    TUAMBIANE

    ReplyDelete
  4. hongera sana kijana.
    mimi ni CEO wa Ufisadi nina tenda ya kutengeneza koroboi hapo Tanzania! nahitaji vijana wasomi kuwaajiri kwenye kampuni yangu ya koroboi na vibatari! kama unavofahamu hatuna umeme miaka mingi sana na usiwe na wasiwasi kwamba utapoteza kazi kwani nimehakikisha tahadhari zote nimechukua kuhakikisha mgao wa umeme unadumu, na kwa sasa wananchi wameriridhika na hali hiyo na vibatari vyangu hivo wameeleza nia yao ya kuendelea kuvitumia kwani ni cheaper kuliko umeme!
    Tuma maombi haraka kwa:
    CEO FISADI
    15 th century house
    cave floor
    Tanzania!

    ReplyDelete
  5. Mdau Nishani tayari una watoto kibao India...LOL wamekuja kukuona baba uki-graduate...Congratulations!

    ReplyDelete
  6. Hongera sana Nisha! this staight from Dallas Texas your Bro' Ahmed

    ReplyDelete
  7. Hongera sana my lil bro, nakutakia kila la kheri katika future yako. Aunty Betty and Sis Joujou will be very proud of you and i'm very proud of you too.

    Your Sis Zeddy, Reading, UK

    ReplyDelete
  8. Hongera sana Nishern kwa kumaliza shule. God bless you my bro. I'm so proud of you. Your sissy, US.

    ReplyDelete
  9. Kwi umepiga hatua mdogo wangu, hongera sana. Mwenyezi Mungu akubariki sana.

    ReplyDelete
  10. PETER NALITOLELADecember 22, 2009

    SIKUJUWA KAMA HINDIA KUNA MI OMBAOMBA INAWEZA KUKUBALI KUCHUKURIWA PICHA NA MUPIGA BOX WA KITANZANIA KWA GIA YA KU WIN DIGIREE, WEWE MAMA JARIBU KUTAFUTA VENUE TOFAUTI USINIHAIBISHE HEBU

    ReplyDelete
  11. Hey Nisha,
    hongera mdogo wangu ,hongera sana...mom will be very happy,and am happy for your achievement too,and you deserve IT!

    Waiting to see you how tall u r,
    Dada Somoe-Dar es salaam

    ReplyDelete
  12. hongera sana kwa kula nondo jamani wenye uwezo wa kula nondo kuleni kwa wingi tunawahitaji mno hongera sana we mkaka pamoja na wala nondo wote wa msimu huu

    ReplyDelete
  13. Hongera sana Nishani.

    ReplyDelete
  14. Kijana kwanza hongera sana,

    Tangu uondoke timu yetu ya mpira inasua sua sana hapa yaani bado pengo lako halijazibika. Anyway, wanted to gave you my heartiest congratulations and big up for all the good deeds you were doing to the community in Pune. Keep that good character up ..

    Mdau from TASA PUNE ..

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...