Home
Unlabelled
nishani ala nondozzz pune
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
MichuziBlogV2Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Hongera sana Nishani, nakumbuka tumesoma wote primary.
ReplyDeleteNa hapa unapongezwa sana na mimi.
ReplyDelete(US Blogger)
MMMHHH!!!!
ReplyDeleteSASA HAO WATOTO WA KIDOSI IMEKAAJE? MARAFIKI KWELI AU JAMAA NDO BABA MLEZI?
TUAMBIANE
hongera sana kijana.
ReplyDeletemimi ni CEO wa Ufisadi nina tenda ya kutengeneza koroboi hapo Tanzania! nahitaji vijana wasomi kuwaajiri kwenye kampuni yangu ya koroboi na vibatari! kama unavofahamu hatuna umeme miaka mingi sana na usiwe na wasiwasi kwamba utapoteza kazi kwani nimehakikisha tahadhari zote nimechukua kuhakikisha mgao wa umeme unadumu, na kwa sasa wananchi wameriridhika na hali hiyo na vibatari vyangu hivo wameeleza nia yao ya kuendelea kuvitumia kwani ni cheaper kuliko umeme!
Tuma maombi haraka kwa:
CEO FISADI
15 th century house
cave floor
Tanzania!
Mdau Nishani tayari una watoto kibao India...LOL wamekuja kukuona baba uki-graduate...Congratulations!
ReplyDeleteHongera sana Nisha! this staight from Dallas Texas your Bro' Ahmed
ReplyDeleteHongera sana my lil bro, nakutakia kila la kheri katika future yako. Aunty Betty and Sis Joujou will be very proud of you and i'm very proud of you too.
ReplyDeleteYour Sis Zeddy, Reading, UK
Hongera sana Nishern kwa kumaliza shule. God bless you my bro. I'm so proud of you. Your sissy, US.
ReplyDeleteKwi umepiga hatua mdogo wangu, hongera sana. Mwenyezi Mungu akubariki sana.
ReplyDeleteSIKUJUWA KAMA HINDIA KUNA MI OMBAOMBA INAWEZA KUKUBALI KUCHUKURIWA PICHA NA MUPIGA BOX WA KITANZANIA KWA GIA YA KU WIN DIGIREE, WEWE MAMA JARIBU KUTAFUTA VENUE TOFAUTI USINIHAIBISHE HEBU
ReplyDeleteHey Nisha,
ReplyDeletehongera mdogo wangu ,hongera sana...mom will be very happy,and am happy for your achievement too,and you deserve IT!
Waiting to see you how tall u r,
Dada Somoe-Dar es salaam
hongera sana kwa kula nondo jamani wenye uwezo wa kula nondo kuleni kwa wingi tunawahitaji mno hongera sana we mkaka pamoja na wala nondo wote wa msimu huu
ReplyDeleteHongera sana Nishani.
ReplyDeleteKijana kwanza hongera sana,
ReplyDeleteTangu uondoke timu yetu ya mpira inasua sua sana hapa yaani bado pengo lako halijazibika. Anyway, wanted to gave you my heartiest congratulations and big up for all the good deeds you were doing to the community in Pune. Keep that good character up ..
Mdau from TASA PUNE ..