hapa ni mkata kaka na hiyo ndo supermaketi ya nyama ya mbuzi. hapo nje ni display tuu mambo yote yako ndani

jamaa wanauza mbuzi mmoja kati ya elfu 18 na 40, maelewano yapo. na wote ni halal
Picha na KAM wa Globu ya Jamii

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 8 mpaka sasa

  1. Michuzi Bwana, vitu gani hivyo unatuonyesha?

    Mate yanajaa mdomoni.

    ReplyDelete
  2. kaka mimi ni mmoja wa wapenda nyama ya mbuzi hapo mate yanatoka
    kaka huu poa sana

    ReplyDelete
  3. Brother hapo baadhi yao wahuni hapo.
    Ukizubaa unauziwa Nyama ya KONDOO ambae wamemchuna mkia ukabakia mdogo kama wa mbuzi, we unafikiri ni mbuzi kumbe ushalishwa kondoo.

    ReplyDelete
  4. eBO, WE Perez hapo juu, shukuru kuwa wanaweza wakakuuzia nyama ya kondoo kuliko mbuzi. Unaweza ukaona sehemu nyingi za TZ wanaweza kukuuzia Wofu Wofu Wafu Wafu ghreee wufu wufu wufu (mbwa)
    ni hayo tu.

    Mkulima wa Kipengere Iringa mjomba aangu ni Tanangozi Iringa

    ReplyDelete
  5. nafurahi kusikia halal mbuzi

    ReplyDelete
  6. Mkata ni wapi?

    ReplyDelete
  7. Sanitation... sanitation... sanitation. Mungu tu anajalia kwa kweli. Mtu haumwi tumbo hapo japo nyama inaanikwa kwenye huo mchuma the whole day. Du! Mungu mkubwa. Amen.

    ReplyDelete
  8. wewe mdau wa juu Thu Dec 31, 01:54:00 AM unaepiga kelele za sanitation, umewahi kusikia TIA? This Is Africa

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...