walibahatika pia kutembela sehemu mbalimbali za kihistoria, kama picha hizi zinavyoonesha. Msafara huo uliongozwa na Meneja Uhusiano na Mawasiliano wa kampuni hiyo, Maneno Mbegu.
walibahatika pia kutembela sehemu mbalimbali za kihistoria, kama picha hizi zinavyoonesha. Msafara huo uliongozwa na Meneja Uhusiano na Mawasiliano wa kampuni hiyo, Maneno Mbegu.


BROTHER MITHUPU ACHA UCHIZI TUNATAKA MATOKEO YA SIMBA NA YANGA,MDAU NIPO CANADA
ReplyDeleteBunge linatarajiwa kupiga marufuku takrima (khanga, pilau, vitnge, sukari, pesa n.k) kwenye uchaguzi. Bunge liko kimya akini kwenye maeneo mengine kwenye takrima. Uandishi na enezaji wa habari husemekana kuwa muhimili wa nne wa dola. Na hapa tunaona ndugu zetu wa TBL na waandishi wa habari wakitoa na kupokea takrima na kusheherekea kabisa. Utendaji kazi wa waandishi hauathiriki hapa.Hapatakuwa na upendeleo katika kuripoti mambo ya TBL na kuficha mabaya na madhambi(kama yapo)ya TBL? Takrima kama haitakiwi kwa wagombea wa siasa inafaa kwa wengine k.m. waandishi wa habari, vyombo vya dola kama polisi, vyombo vya usimamizi kama TCRA au EWURA n.k? Na tabia ya takrima kwa wafanyakazi ipo sana na kwa muda mrefu. Tunasemaje wanablogu ya jamii?
ReplyDeletembaya zaidi wamegeuzwa matangazo kwa kuvikwa fulana za tbl.
ReplyDeleteJe pamoja na tripu ya Zenji, naona ktk picha ya kwanza ka vile na makubazi ya wanaocheza twaarabu yamefanana, je mlipewa pia makubazi buree?
ReplyDelete