Home
Unlabelled
ajali dabo dabo mikese na ubena leo
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
madereva wengi hawatumii common sense, angalia picha ya kwanza - eti alitaka kugeuza 40 feet lorry kwenye highway.
ReplyDeletekama mimi ni mwajiri wake nampiga kalamu instantly, sitaki discussion. hiyo ni mali ya mamilioni, lakini kibaya zaidi ni usumbufu kwa watumiaji wengine wa barabara.
magari yamekuwa mengi mno kiasi kwamba udereva siyo specialised preofession. wamekuwa kama waandishi wa habari walivyo utitiri, lakini soma article zao ukimbie.
kama mambo serikali ingeweza kuvalia njuga ni ajali za barabarani.hiyo sekta natakiwa itupiwe macho.kabla sijatembea nilijua ajali za barabarani kama haziwezi punguzwa.KUMBE INAWEWEZEKANA KABISA.
ReplyDeleteCorrupt system ya utoaji leseni za udereva, matokeo yake ni madereva wasiotumia common sense na wauaji. Solution ni kwamba kila dereva anayesababisha kifo au vifo akinusurika katika hiyo ajali asiachiwe akaishi, awe executed hadharani kwa kutumia firing squad, hakuna kifungo.China wanaweza kutufundisha jinsi wanavyofanya.
ReplyDeleteBARAFU INAANGUKA ULAYA GARI ZINAPINDUKA BONGO....
ReplyDeleteMDAU MONEY UK.